Walimu 2 wa physics wanahitajika

Walimu 2 wa physics wanahitajika

Yupo jamaa yangu anafundsha phyz japo chuo kachukua chemistry na biology, lakini tempo zote na field amekua akifundsha physics na yupo vzr, ukimhtaj nitonye hapa hapa nitakutafta PM kwa simu nyingne hii inasumbua kuingia PM.
 
Back
Top Bottom