Recent content by Kiboko ya chura

  1. Kiboko ya chura

    JamiiForums Tanzania Taratibu za uanzishaji wa Maabara ya binadamu

    Asante kwa ushauri wenu
  2. Kiboko ya chura

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu mawakala wa kupeleka watu Uarabuni

    Ni pm kwa kunitumia vocha ya airtel / voda / tigo nikuunganishe kwa jamaangu fanya fasta nafasi ni chache sana
  3. Kiboko ya chura

    JamiiForums Tanzania Taratibu za uanzishaji wa Maabara ya binadamu

    Naomba kufahamu nitaratibu zipi hupaswa kufuatwa ili kufanikisha uanzishwaji wa maabara ndogo kwaajili ya kupima vipimo kama choo, mkojo na Typhoid kwa binadamu. Hapa naongelea sifa za mtu ambaye anayepaswa kuomba kibali cha kufungua hiyo maabara na taratibu zake zikoje katika upatikani wa hivyo...
  4. Kiboko ya chura

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana waanza kujulikana Iringa baada ya kutaka kumteka kiongozi wa Chadema, wengine wakimbia mmoja akamatwa

    Mke wangu nikimkosa usiku nyumbani kwangu nakimbilia nyumbani viungozi wa kiume kwenda kuvizia hii raha sana hakuna kupoteza muda hapa
  5. Kiboko ya chura

    JamiiForums Tanzania TBS kusimamia masuala ya Chakula na Vipodozi

    Jambo hili linaweza kupelekea kuongezeka kwa mzigo kwa wafanyabiashara. Yawezekana mfanyabiashara wa kawaida anayeuza duka la kawaida lenye mchanganyiko wa vipodozi na vitu vya kawaida akatakiwa kuwa na vibali vya TBS pamoja na TMDA
  6. Kiboko ya chura

    JamiiForums Tanzania Tunaposema maendeleo ya watu badala ya vitu, msikilizeni boss wa IMF, Christine Lagarde

    Sawa mkuu, nimekuwa wa kwanza kuchangia mada japo watu wameikimbia
  7. Kiboko ya chura

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Maadili kuwachunguza wakuu wa mikoa, wabunge wa mikoa 12

    Tufanye kazi hayo mengine tuyaache kama talivyo japo yanatuhusu. Nakumbuka kulikuwa na mkanganyiko kuhusu wakuu wa mikoa kuhusika na uhakiki ila kwa sasa sijui itakuweje ama labda kuna watu wanataka kutolewa kafara . Hayatuhusu tufanye kazi
  8. Kiboko ya chura

    JamiiForums Tanzania Kazi imeanza vita mifuko ya plastiki

    Tumekubali yaishe .mifuko ya rambo ilikuwa mkombozi . Kwavile serikali ndio yenye mamlaka ya kuamua kipi kiishi na kipi kisiishi hivyo tuiachie yenyewe iamue na sisi tutii amri bila shuruti.
  9. Kiboko ya chura

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya miamala ya fedha kwa simu na benki watakiwa kutoa taarifa kabla

    Vizuri, naona tunajaribu kuongeza wigo wa makusanyo ya kodi
Back
Top Bottom