Kiboko ya chura
Member
- Apr 28, 2019
- 9
- 10
Naomba kufahamu nitaratibu zipi hupaswa kufuatwa ili kufanikisha uanzishwaji wa maabara ndogo kwaajili ya kupima vipimo kama choo, mkojo na Typhoid kwa binadamu. Hapa naongelea sifa za mtu ambaye anayepaswa kuomba kibali cha kufungua hiyo maabara na taratibu zake zikoje katika upatikani wa hivyo vibali.
Ningependa kufahamu pia aina gani ya vifaa vinavyotakiwa kwaajili ya vipimo hivyo na gharama ya hivyo vifaa pamoja chemical zitakazo tumika .
Ndugu zangu mimi sio mwandishi mahiri lakini najua nitakuwa nimeeleweka vya kutosha hivyo naomba msaada wenu katika hili.