Recent content by kiboje

  1. kiboje

    JamiiForums Tanzania Polisi wamshughulikie Mchange katika mambo haya 10...

    kwa mbaaaaali naanza kuona bora tulikotoka kuliko tulipo, yaana bora enziya Mwema kuliko hapa kwa...!
  2. kiboje

    JamiiForums Tanzania Usaili Zimamoto kwa tarehe 28&29/03/2014

    Ni fununu tu.
  3. kiboje

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda: Mnaitaka Tanganyika ipi?.

    Mi nataka Serikali moja tu, tena iwe na vision ya kutuunganisha na si kutugawanya kama Pinda na CDM wanavyotaka.
  4. kiboje

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    mi nilikuwa nangalia idadi ya watu waliopiga kura tu, kama ni kweli walijitokeza hakuna uchakachuaji basi watanzania tumemka yawezekana 2015 70% ya waliojiandikisha wakapiga kura.
  5. kiboje

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Malecela na Lowassa ni ya muda mrefu. Hii hapa ndiyo siri ya utajiri wa Lowassa

    Hah hah hah hah...............! Nimekuelewa kaka, kweli kabisa arifu, sasa tu-deal na mpando wa bei ya umeme, kushuka kwa elimu na uanzishwaji wa viwanda vya magari kama mgongo wa chura, 501, combi na mengineyo kwa maana maisha hivi sasa ni kama zamani, kwani si tunaona vitanda vya mbao...
  6. kiboje

    JamiiForums Tanzania Live kutoka viwanja vya Furaisha M4C OPD

    Simba inaongoza kwa goli 4 kwa bila.
  7. kiboje

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Malecela na Lowassa ni ya muda mrefu. Hii hapa ndiyo siri ya utajiri wa Lowassa

    Hebu fungueni kwenye mabano hapo wazee maana sisis watoto wa 1995 kuja huku mmetuacha. manmzungumzia HK ama?
  8. kiboje

    JamiiForums Tanzania Wabunge kulipwa 160m kiinua mgongo: Sheria na Kanuni inayotumika hii hapa

    Atalamba kama kawaida, unacheza na kimango wewe.
  9. kiboje

    JamiiForums Tanzania Mbowe avunja sheria tena; Afanya mkutano wa hadhara Bagamoyo kinyume cha sheria

    Naamini wewe utakuwa na kitu na Mbowe si hivihivi tu, maana kila siku ni wewe na Mbowe tu hivi hauna mengine zaidi ya Mbowe?
  10. kiboje

    JamiiForums Tanzania Marlaw: Sina mpango wa kushiriki kampeni za kisiasa tena

    Binafsi nampinga maamuzi yake kama akiyatekeleza, napenda nimshauri asifungamane na upande wowote ule asimamie Ngawira tu ndo iwe kaulimbiu yake.
  11. kiboje

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa kisiasa ana hotuba kali za kumbadilisha mtu?

    Sawa Robot letu.
  12. kiboje

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mkutano wa CHADEMA Mbeya

  13. kiboje

    JamiiForums Tanzania Mama yake Mtela Mwampamba ni mwanachama wa CHADEMA

    Njaa mbaya sana, ukipatwa nayo hutoweza kufikiria kwa kina utabaki ukiongozwa na tumbo tu kama huyo jamaa.
  14. kiboje

    JamiiForums Tanzania Vita ya CHADEMA na CCM ya hamia kwa OCD na Mhe. Lema

    Ally Bananga ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaa....! Meya ni bora angastuke mapema huyu jamaaa ni kwere na naamini 2015 Lema atapata shida sana maana lazma apate upinzani tu kwa huyu jamaa.
  15. kiboje

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaanza Operesheni PAMOJA DAIMA: Helkopta tatu Kutumika!

    Zitto atakuwepo ktk moja ya hizo timu? Samahani lakini nauliza tu.
Back
Top Bottom