asante kwa ujumbe lakini kwanini tusigawane majukumu babu aponye mwili nyie wenye wasiwasi kupoteza mafungu ya kumi na malimbuko mponye roho ////////////////

JAMANI JAMANI MBONA MABABU ZETU KINA MKWAWA MELI KINJIKITILE NK TUNA AMBIWA WALIKUWA MAJASIRI MPAKA WAKOLONI WANAKIMBIA SISI TUNA LAANA GANI ??? MPAKA TUNATAWALIWA NA WAKIMBIZI KAMA ROSTAM ??
Nakubaliana na mwana jf newdawntz kuwa polisi wameasi kiaina ili kutibua hasira za wananchi kwani toka jana nilishangaa kuona idadi kubwa sana ya ffu mitaani )
Sio mawili ni matatu lakini usijali siku inakuja soon hata sisi tunajua kulipua kwani milipuko ya mererani sio milipuko tutahamishia hapa tu tuone basi; vijana wako hatua za mwisho mwisho kwenye hili zoezi

hapa hakunakitu bwana ni mafisadi wamelipua ili tusahau dowans si ajabu tukiwa busy na mabomu tukasikia tayari wameshalamba hawana huruma hawa watu

kwa taarifa yako na wengine arusha ni kitega uchumi cha mafisadi wa daraja la pili ambao ndio wabaya zaidi na hawako tayari kuipa cdm nafasi miaka kumi manicipal haijawahi kufanya chote miundo mbinu mibovu ooooooo

hivi hatuwezi kufanya kama amerika usa serikali itoe siku moja ya kuombea taifa wakristo waende kanisani waislam waende msikitini jambo hili lifanyike kila mwaka mara moja

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.