Busara za MIZENGO PINDA ziko wapi?

Mark Francis

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
605
310
Baada ya kulidanganya bunge kuhusu mauaji ya Arusha na kugundua kuwa kweli hakuwa sahihi (Kutokana na Spika kutokumhoji tena Mh.Lema), nilitegemea Waziri Mkuu angetumia fursa ya kuhairisha bunge, pamoja na mambo mengine kwa kuwaomba radhi watanzania kwa matamshi yake ambayo hayakuwa ya kweli.... Baada ya kutafakari tokea jana, nimegundua kuwa PINDA hana busara na hana uchungu kabisa na raia wa nchi hii!?

Huu ni mtazamu wangu, nyie mnalionaje?
 
tena ilikuwa kazi rahisi tu...
angesema jamani mimi kama PM nina wasaidizi na watendaji waliopo chini yangu na ndio hunipa taarifa zote ninazopaswa kuzitoa hadharani kama tamko la serikali,lakini nashukuru kama kumekuwa na taarifa za ziada ambazo ofisi yangu haina tutazipokea kuzihakiki na kuwajulisha...
sasa kachunaa tu na yule mama hana lolote zaidi ya jazba...hivi kwanini hki kikundi cha watu 200 kitusumbue kila siku? mapinduzi ni muhimu!
 
Mpaka akajadiliane na mafisadi cha kujibu, maana wakijichanganya tu inakula kwao mazima, kuna mwanajamvi mmoja aliwahi kuelezea kwanini Serikali ya CCM hawezi hata kufuta kesi hii, kwanza mara baada ya kufuta CDM wata fungua kesi ya madai, walio uawawa na kujeruhiwa watafungua kesi, kisiasa itawamaliza kabisa huku CDM ikipanda chart, kuna siri kubwa kung'ang'ania manispaa ya Arusha kuwa kabidhi manispaa CCM itaumbuka vibaya....kimsingi swala la Arusha siyo jepesi kama wengi tunavyoliona..
 
<p>

</p>kwa taarifa yako na wengine arusha ni kitega uchumi cha mafisadi wa daraja la pili ambao ndio wabaya zaidi na hawako tayari kuipa cdm nafasi miaka kumi manicipal haijawahi kufanya chote miundo mbinu mibovu ooooooo
<p>&nbsp;</p>
 
jamani mwacheni mtt wa mkulima acje kuanza kulia bure mnajua machozi yake yapo karibu
 
Mpaka akajadiliane na mafisadi cha kujibu, maana wakijichanganya tu inakula kwao mazima, kuna mwanajamvi mmoja aliwahi kuelezea kwanini Serikali ya CCM hawezi hata kufuta kesi hii, kwanza mara baada ya kufuta CDM wata fungua kesi ya madai, walio uawawa na kujeruhiwa watafungua kesi, kisiasa itawamaliza kabisa huku CDM ikipanda chart, kuna siri kubwa kung'ang'ania manispaa ya Arusha kuwa kabidhi manispaa CCM itaumbuka vibaya....kimsingi swala la Arusha siyo jepesi kama wengi tunavyoliona..

Aliahirisha Bunge bila kujiandaa maana kazi za siku mbili Alhamisi na Ijumaa zilizokuwa kwenye ratiba hazikufanyika
 
Yule Pinda mesahau kazi yake alipokuwa ikulu??
Alikuwa pia chinjachinja mzuri mno, ndio maana kanyauka kwakuwa na roho ngumu......anajua kachemsha lakini ataendelea kuugulia ndani kwandani......Hiyo ndiyo taabu ya kufanya kazi kwa mazoea..
 
Unategemea serikali iseme ikiri kwa wananchi kuwa imekosea? Lakini mwisho wa yote wataumbuka kama hosni mubarak.wanachi wakichoka hali huwa mbaya sana.
 
j......hivi kwanini hki kikundi cha watu 200 kitusumbue kila siku? mapinduzi ni muhimu!

hata mi najiuliza hivi kila siku, hawa jamaa wachache sana lakini ndo wanaharibu nchi yetu kwa ufisadi kila kukicha na mbele ya macho yetu, kwani wao ni kina nani hadi tuwaachia hivi? inauma sana!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom