Recent content by kibobori mahoro

  1. K

    JamiiForums Tanzania JE WAJUA?.....MENDE

    Adam na Eva ndio waasisi wa "kifo cha mende".
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzuri wa kibamia hakifiki IKIMWI ulipo

    Kibamia hakichubui.
  3. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake ni janga kwa wagonjwa na ndugu wanaouguza pale

    Haya ndiyo mambo JPM aliyoyapinga ila wana mtandao wakaondoka nae asubuhi na mapema. RIP
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kukulana mchana vs kukulana usiku

    Mchana kila kitu kinaonekana, chura wa mchana sio sawa na chura wa usiku. Mchana ni chura na uhalisia wake.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Auawa kwa kumkufuru mtume Muhammad S.A.W

    Kama kweli hiyo dini ni ya Mungu, wangemuachia Mungu atende kazi yake, kumbe ni ya binadamu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania si kweli kuwa Nigeria ndio taifa lililoelimika zaidi barani Afrika

    Tz vipi? Au ni nchi ya "kujichukulia chako mapema?"
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Gwagima anaweza kuwa na jibu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naomba mnifahamishe kama hivi ndivyo nyota inavyoibiwa?

    Ameona una kismart, sasa kaa mkao wa kuibiwa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Kama JPM angeshiriki basi Lissu angekuwa majivu. Angetoweka kabisa katika uso wa dunia.
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa namna Kibaigwa ilivyofurika mkutano wa kampeni, tumtarajie kaka kuitisha press saa tatu usiku

    Mkurugenzi akiwaambia waalimu wote wahudhurie wataacha kumheshimu bosi wao?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

    Wakuu wa hivyo vyombo wanateuliwa na raisi. Itabidi umheshimu bosi wako. Swali limejibiwa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Huenda Bishop Gwajima kafilisika

    Kwani makanisa ya nje ya nchi nayo yamefungwa?
Back
Top Bottom