Recent content by Kibo10

  1. Kibo10

    Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani

    Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani bila yuan kuporomoka? Au iko tayari 'kudhoofisha' sarafu yake kimkakati ili kuendelea kushindana? Vita vya kiuchumi si risasi, ni sarafu."
  2. Kibo10

    CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa?

    CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa? Kwa kipindi kirefu sasa, CHADEMA wamekuwa wakisusia chaguzi mbalimbali kwa madai kuwa mazingira hayaruhusu ushindani wa haki. Hoja yao kuu ni kupinga mfumo usio wa kidemokrasia, lakini swali kubwa linabaki: wanasusia kwa faida ya...
  3. Kibo10

    Bar ya Kitambaa Cheupe wekeni limit ya watu, ni wengi mno

    Kitambaa cheupe sinza imefungiwa
  4. Kibo10

    Kama mmiliki wa Uhuru Peak Kinondoni upo humu soma hapa

    Sikia Dogo, Unaonekana wewe ni mgeni sehemu za starehe. Mbona 85% ya MaBar makubwa yote yanayojaza Wana huu utaratibu? Pia huwezi kuita kiingilio. Ile coupon, Yani unalipa na ukiingia unapata drinks. Kwangu naona ni utaratibu mzuri maana unapunguza wezi. Pia, Unawezaje kwenda sehemu ya starehe...
  5. Kibo10

    Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Bora kujikwaa kidole kuliko ulimi.
  6. Kibo10

    Ukweli mchungu: CHADEMA iko ICU

    Kama Chadema ipo ICU basi CCm ni maiti. Maandishi ya kizamani sana haya.
  7. Kibo10

    Mdude Nyangali arejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Taifa BAVICHA

    Mdude anfit kabisa, Hana ulaini wa yule mmasai
  8. Kibo10

    Mkuu wa Kituo Cha Polisi Mwenge anakula Rushwa hadharani, IGP chukua hatua

    Tupia namba mkuu tumjulishe kamanda
  9. Kibo10

    Mkuu wa Kituo Cha Polisi Mwenge anakula Rushwa hadharani, IGP chukua hatua

    Mkuu huyu mkuu wa kituo cha polisi mwenge nje ya rushwa anakusanya ushuru wa mh rais kama mali yake. anatia hadi aibu jeshi
  10. Kibo10

    Mkuu wa Kituo Cha Polisi Mwenge anakula Rushwa hadharani, IGP chukua hatua

    Mwenge jiji dar wiliya ya kinondoni mkuu
  11. Kibo10

    Mkuu wa Kituo Cha Polisi Mwenge anakula Rushwa hadharani, IGP chukua hatua

    Mamlaka zinazohusika mwangalieni mkuu wa kituo cha polisi cha Mwenge. Huyu mama anakula rushwa haradani, Nitaeleza. Hapo mwenge kuna wamachinga, Ambao kimsingi,,Mkuu wa wilaya kawatengea eneo rasmi la kufanyia biashara zao. Lakini mkuu wa kituo cha polisi mwenge, Huamasisha baadhi yao wasiende...
  12. Kibo10

    Halimashauri ya Kinondoni, Okoeni biashara za MWENGE, la sivyo serekali itapoteza mapato makubwa sana

    Unaambiwa ukistajabu ya musa utaona ya firauni, Hivi ndio naweza kusema ukifanikiwa kupita eneo la mwenge jioni hii. Nakumbuka rais aliruhusu machinga wafanye biashara zao, Lakini alitadharisha kutokubugudhi walipa kodi wengine. Sijajua ni kiongozi gani karuhusu barabara ya mwenge sokoni...
  13. Kibo10

    Mara PaaP, Jakaya, Kinana Wanamuunga Mkono Membe 2020.

    Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe. Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake. Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe. Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana...
Back
Top Bottom