Chanjo ya korona haipingwi na watanzania pekeee malekani walikutana lini na Magufuli? Mbona wanaipinga au hamwoni? Ulaya walikutana lini na Gwajima mbona wanaipinga? Maoni ya watu hata Kama hawako sahihi yaheshimiwe! Anayefaidi matumizi ya chanjo ni nani kati ya Tanzania na USA? USA anafaidi...
Kiranga ni kichaa aliechangamka,kumuelewesja
Kiranga ni kichaa aliechangamka, na ni ngumu kubishana na mgonjwa wa aina hii maana kila anayebishana naye yeye anamwona ni mjinga yeye ndo mwelevu, inshort ukikutana na kichaa yupo uchi anakuona wewe ndo upo uchi Ila yeye yupo sawa.
Kwa nini haujashauri matumizi sahihi ya kodi na kushauri udhibiti wa wizi wa Kodi za umma ili kila mlipa Kodi ifike mahali aone aibu kutodai receipt anaponunua kitu? Haiingii akilini Kodi ikusanywe halafu watu wakae na kuidhinisha allowance nje ya mpangilio, ufisadi na nia ya kuwadhibiti hao...
Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati wamepoteza matumaini, na mtegemee kuwa watasalia wamekaa kimya kwa amani na utulivu?
Amani ni zao la matumaini, pindi matumaini yatakapotoweka kutakuwa na vurugu katika jamii...
ndugu watanzania na watumishi wa Mung una waumini,chondechonde tuvisome vitabu vitakatifu tuvielewe na tufundishane njia sahihi yenye utukufu mbele za Mungu bila kuhitaji kuwa tofauti na wengine au kutafuta umaarufu.
Jana kuna sheikh mmoja tanga kawakataza waumini wake kwenda msikitini wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.