Recent content by kibiashara

  1. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hbr imeanza
  2. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na ushindi wetu unaanza punde
  3. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ndani ya dkk 15 tutakuwa 2-0
  4. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na habari itaanza mapemaaa
  5. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Asante Westham. Tunazidi kupanua game kesho. Mind The gap people
  6. K

    Fundi Fuel Meter anahitajika

    Unae fundi mzuri wa umeme wa magari? Nahofia watu kujaribu jaribu wasije niletea damage kubwa zaidi
  7. K

    Fundi Fuel Meter anahitajika

    Waungwana namaanisha mita ya kusoma mafuta yani fuel reading meter
  8. K

    Fundi Fuel Meter anahitajika

    Nina gari Honda Odyssey ya 2004. Mitaa ya kusoma mafuta imekufa. Natafuta fundi/gereji. Mwenye kujua naomba msaada tahadhali. Asante
  9. K

    Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

    Hongera Rished. Ni faraja na fahari kwangu kama classmate wako Forodhani secondary 1984 -87 kisha Chuo 1992 - 95 kuona umepata mafanikio hivi. Nakutakia kila la heri ukiweka maslahi ya Taifa kwanza. God bless you
  10. K

    Watakaoiuwa CCM wameanza kutoka mafichoni

    Naunga mkono hoja zote makalani. Mimi ni mmoja wa waumini wakubwa wa mabadiliko ya uongozi wa kisiasa kwa Tanzania tuliyofika sasa. Mabadiliko haya yatakuwa na sura mbili. Moja ni hii ambayo mto mada ameielezea hapo juu. Ya pili ni kutengeneza pitio (precedent) ambapo kupitia kwa mfumo wa...
  11. K

    Honda Odyssey Inauzwa

    wadau changamkieni mchuma
  12. K

    Honda Odyssey Inauzwa

    Rangi ya dhahabu metallic, 2.4cc 4 cylinder ivtec engine, imetengenezwa 2003, ipo Tanzania kwa miaka 3 sasa, iliingia toka Singapore, imetembea 130,000km, inakaa watu 7 comfortably seated, automatic na manual gear, cruise control, viti vya leather, sun roof, original sports reams, HID headlumps...
  13. K

    Marin Board, Mirunda, Mbao Used for Sale

    karibu Dar. Karibu Mbweni Mkuu!
  14. K

    Marin Board, Mirunda, Mbao Used for Sale

    Hiyo ni Dar, wilaya ya Kinondoni, mbele ya Tegeta....just to be more precise....swali lingine?
  15. K

    Marin Board, Mirunda, Mbao Used for Sale

    ooh yes. sight ipo Mbweni JKT njia ya kwenda Ndege Beach. Karibu na pub iiitwayo Mbweni Inn. Karibuni
Back
Top Bottom