Recent content by kibella24

  1. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

    Huo ndo uhusiano wa mwendo kasi! Hapo huna mtu. Piga chini tu. Wallah atakutia presha huyo.
  2. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina hamu ya kuendelea kuishi na mke niliyezaa naye watoto watatu

    Bro, acha masihara, ucjitafutie laana. Laana ya mwenza nayo ni mbaya! Km hajakufanyia kosa kwanini umuache? Kuishiwa na hamu na mwenza kwenye ndoa nikawaida tuu. Go back to the principles za ndoa. Sali sana. Muombe Mungu akupe moyo wa Upendo ili umpende na kumhitaji mke wako km enzi za uchumba...
  3. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina hamu ya kuendelea kuishi na mke niliyezaa naye watoto watatu

    Duh! Kweli ujasiri Unao!!
  4. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu leo hajanitendea haki kabisa, siwezi kumsamehe hata kidogo

    Wewe unamatatizo sana hata kauli zako saivi zinaonyesha ujanjaujanja tuu. Nikweli mke wako hajafuata pesa, we ulitaka akaliwe na nani??? Pata muda kuwa na mkeo, mpe hitaji lake la ndoa moyo wake utatulia. unajidai uko bize kwa faidia ya nani km familia haina furaha??Huyo mgombea unayemnadi ni...
  5. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wengi wanaosema wapo single ni vicheche

    aiseee
  6. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda kunusa kufuri la mke wangu

    hahaaaaa, dah ni exclusive aiseee!nadhani unamatatizo ya kisaikolojia huna tofauti na wale wanaopiga chabo au ku piga punyeto hata km tayari washaoa au kuolewa. mtafute mwanasaikolojia hasa wa mahusiano atakusaidia kuondokana na hilo tatizo. Otherwise Muombe MUngu hali hiyo isijirudie...
  7. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

    changu sio mke wako ndugu. hizo mbwembwe za kunyonya nyonya usiwapelekeee. we lipa, ingia room moja kwa moja unamchomeka mashine (tembea na lubricant kabisaaa ili kulainishia kitu yake) ukishashusha mzigo chukua vitu vyako vyote ingia navyo bafuni kuoga then sepa zako. Hao wako kazini ukimuachia...
  8. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fresh kutoka Chuo katugonganisha 5 kimapenzi kazini, nimesalimika kweli?

    dah, huyo nome, yani miezi isiyo zidi mi3 ashalambwa na zaidi ya wa5?ila inaelekea na nyie hapo oficn ndo kawaida yenu!!hongereni kwa kulamba, pole wewe ulielamba bila dawa!
  9. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kamtuma rafiki yake anitongoze kupima uaminifu, nikimfyatua kuna ubaya?

    duh, Mwezi mtukufu uendeleee tu!!
  10. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    UMefanya ujinga sana aiseeee,unastahili kuadhibiwa kwa ulichofanya. Naamini kabisa uzembe wakwanza ulianzia kwako kwakutotoa hivyo vitu kwenye suruali baada ya kurudi nyumbani. Uzembe wa pili ni wamke wako kwakutokagua nguo za mume wake kabla yakuzitoa kwa housegal afue kwani naamini huyo...
  11. kibella24

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi mkuu: Siri nzito ya Flora Mbasha yafichuka (Part -1)

    huna ishu, jua yako yawenzako hayakuhusu.
  12. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina hamu ya kuendelea kuishi na mke niliyezaa naye watoto watatu

    There is only one solution for that.....Muombe Mungu tu akujaze upendo kwa mkeo tena mara mia ya ule wa awali. 10yrs are not worth a divorce...laasivo unatafuta laana tu! hope with prayers, ya going to rejuvenate very soon! Wishing u best of luck.
  13. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umetembea na mke wa mtu umeamka asubuhi ukakuta sehemu ya siri haipo utachukua uamuzi gani?

    kachumbari tamuuu, hebu ongeza na kalimao kwa mbaaaali!
  14. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumwambie mumewe ukweli au?

    I dont care about kilichotokea kwa huyo dada na mahitaji ya mumewake kwasababu najua taratibu husika zitafuata na haki itapatkana, kimaadili na kisheria. Mi shida yangu iko kwako HR. Ushapoteza sifa yakuwa HR wa hiyo kampuni. Walaahi ningekuwa bosi wako ningeshakufuta kazi wewe kwanza hata kabla...
  15. kibella24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimtumia mumeo picha za rafiki yako ni akili kweli?

    Msamehe bureee, huenda kweli kaazimia kukutafutia bwana, pengine huyo wala sio mume wake!
Back
Top Bottom