Recent content by KIBEBA BEBEA

  1. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulishawahi kudhulumiwa maishani mwako na kinakuuma mpaka leo hii?

    Wale ni wezi mkuu ukituma hela imekula kwako
  2. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Wadada acheni maringo yasiyokuwa na tija

    Kwani shule bado tuu hamjarudi?
  3. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Yanga yatozwa Tsh. Milioni 100 kwa kutumia nyumba ya mtu binafsi badala ya vyumba rasmi vya kubadilishia nguo

    Kila timu haiwezi kujiamulia vile inataka. Ni lazima taratibu ziheshimiwe
  4. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.

    Kama umekiuza hadi umenunua gari una haki ya kukipumzisha sasa
  5. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuwa waafrika weusi tumelaaniwa? (World cup rant)

    Sisi tunachoweza ni majungu tuu, mpira tuwaachie wazungu
  6. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Nimempenda jirani yangu, nifanyeje?

    Omba vitus mzee usiogope
  7. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Unahitaji nguvu ya ziada kuishinda tamaa ya mapenzi;Kuna nguvu nyingine itakuelekeza huko ili uhangamie na kuwa masikini, ni ngumu kuipinga

    Mkuu ulichoongea ni kweli kabisa, tatizo hapa kila mmoja atajifanya hayajawahi kumkuta, Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  8. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

    Wewe ni ng'ombe Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  9. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

    Mwambie asubirie mwaka mpya nae afumaniwe!! Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  10. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Jamani connection ya Giggy mbn mmenisahau wakuu!! Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  11. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kiazi hicho Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  12. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

    Mahali pa kufanyia nn? Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  13. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wewe k Kama huna kazi si uokote hata chupa za maji uuze!!pumbavu Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  14. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Mke na mpenzi wangu ana Birthday kesho

    Kazi ipo!! Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
  15. KIBEBA BEBEA

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mi niliambiwa mnakaa tu kama mawe hamjui muda wa taarifa ya habari umefika muwashe tv? Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom