WakomeMilion 100
Mbona ni mkwanja mrefu
Kila timu haiwezi kujiamulia vile inataka. Ni lazima taratibu ziheshimiweJemedari Said ana connection gani pale TFF! mbona kila atakochoongea TFF wanakifanyia kazi! Au anatumwa kupima upepo!
Nakumbuka yote aliyoyaongea crown fm TFF wameyatekeleza ikiwemo ya Hersi kuitwa kamati ya maadili!
Hizi adhabu za kukomoana sana au ni hasira za mtu wao waliyepanga achukue kombe kushindikana!
Nchi haina viongozi wa soka kabisa hii🚮🚮🚮🚮🤣🙌
Chezeni mpira hakuna points za mezani ume target wakatwe point ili muwe mabingwaHuo ni uzwazwa, na hicho ndio kinaipa utopolo kiburi cha kuvunja kanuni makusudi! Kanuni zibadilishwe iwe kupokwa point na faini juu, na kosa likijirudia iwe hata kushushwa daraja!
MATAKO YAO UTOPOLO in sugu voice.
Hakuna mwenye shida na points za mezani. Kanuni ziheshimiwe, mpira/ligi yetu si mali ya mtu binafsi au kikundi kwamba kina mamlaka na jeuri ya kukiuka kanuni kwa makusudi. Kama kwenye mechi ya Yanga na Jkt, Yanga walishindwa kuviamini vyumba ambavyo kimsingi vipo chini ya Jeshi, maana yake hawaamini jeshi letu na kwamba jeshi letu nalo haliaminiki.Chezeni mpira hakuna points za mezani ume target wakatwe point ili muwe mabingwa
Kwanini TFF wasitafute source ya hilo tatizo instead ya kupiga fine?Hakuna mwenye shida na points za mezani. Kanuni ziheshimiwe, mpira/ligi yetu si mali ya mtu binafsi au kikundi kwamba kina mamlaka na jeuri ya kukiuka kanuni kwa makusudi. Kama kwenye mechi ya Yanga na Jkt, Yanga walishindwa kuviamini vyumba ambavyo kimsingi vipo chini ya Jeshi, maana yake hawaamini jeshi letu na kwamba jeshi letu nalo haliaminiki.
So, kukiuka kanuni kwa makusudi ndio namna sahihi ya kutatua tatizo? Kwanza tatizo gani unaloliongelea... ambalo lilijitokeza kwenye himaya ya jeshi? Maana ni kama mnataka kulituhumu jeshi, ambapo ni kashfa nzito kweli kweli! Siku ukiweka ushabiki wako maandazi pembeni, utaweza angalao kufanana kidogo kwa mbali na Baba yake Haji Manara.Kwanini TFF wasitafute source ya hilo tatizo instead ya kupiga fine?
Sikiliza wewe mbumbumbu mpira haupo chini ya jeshi timu zote zinatakiwa zipo kwenye same ground, alf tangu lini jeshi likalinda viwanja ?una akili za CCM badala ya kutafta source ya kwanini watu wanataka kuandamana nyie mmekomaa na kuzuia maandamanoSo, kukiuka kanuni kwa makusudi ndio namna sahihi ya kutatua tatizo? Kwanza tatizo gani unaloliongelea... ambalo lilijitokeza kwenye himaya ya jeshi? Maana ni kama mnataka kulituhumu jeshi, ambapo ni kashfa nzito kweli kweli! Siku ukiweka ushabiki wako maandazi pembeni, utaweza angalao kufanana kidogo kwa mbali na Baba yake Haji Manara.
Kwani timu ya taifa wana mambo ya ushirikina au Yanga?Fools aren’t in short supply in this country!
Kama ushirikina ungekuwa na uwezo wa kuifanya timu ishinde mechi zake, basi Tanzania ingekuwa imeshakuwa World Cup champion au angalau ingekuwa imeshafuzu a few times kuingia kwenye mashindano ya World Cup!
Wanaoona kuna tatizo walishatoa taarifa?Kwanini TFF wasitafute source ya hilo tatizo instead ya kupiga fine?
Timu ya taifa inatoka wapi? Timu ya taifa inatokana na jamii hiyo hiyo ya watu wapumbavu!Kwani timu ya taifa wana mambo ya ushirikina au Yanga?
Kama huko vyumbani kungekua hakuna shida timu zingefanya huo ujinga? kama unaongoza taasisi kuna kosa lina jirudia rudia kwa unao waongoza huwezi settle down utafte mzizi wa tatizo?Wanaoona kuna tatizo walishatoa taarifa?