Kwenye uzuri sisi hayupo,,,, tushajizeekea yaani dizaini za ndalichako na magauni yakeNi Mzuri kama leo dada au Binti wa zamani ?
Nadhan hamfikii, To yeye & SeranNi Mzuri kama leo dada au Binti wa zamani ?
Kwqni seran n mzur sana ety mkuuNadhan hamfikii, To yeye & Seran
Itakua ni mzuri kama leo dada 😍😊Ni Mzuri kama leo dada au Binti wa zamani ?
Naomba uwe mke wangu 😊😊Jitoe kimaso maso,kukataliwa au kukubaliwa yote majibu!
Uzuri hauna umriKwenye uzuri sisi hayupo,,,, tushajizeekea yaani dizaini za ndalichako na magauni yake
kuna danga lake limemwambia aendelee kuvuta vuta mudaNaona form six wote wameenda JKT,sijui wewe umebaki nyumbani kufanya nini?
kiongozi mkubbwa wa cccm ndio yule mjumbe wa nyumba 12 ?Kwa hiyo unataka tukufundishe kutongoza? Angalia utaishia kuila kwa macho halafu siku ya siku unakuja kuona anaingiza kajamaa kachovu mpaka unajidharau kwamba ulikuwa wapi? Kama hutaki usumbufu anza hivi siku ukiingia kwake kufuata hela ya umeme "Jirani unajua huwa nakuheshimu sana kupita maelezo, sasa siku nikikukosea sijui utanisamehe? Akishasema tu nitakusamehe hiyo ni ndoano ameshaimeza, mengine malizia mwenyewe sasa! Mbinu hii mimi ilishanisaidia Nikala kiongozi mkubwa wa CCM!