Mabadiliko haya yangekuwa yafanya ke mwaka 2019 ila waziri wa elimu alishasitisha kutokana Changamoto za miundombinu na walimu. Hasa kuwezesha madarasa mwili std vi na vii kuingia kidato cha kwanza kwa pamoja. Pia miundombinu haijaansaliwa kumudu Idadi ya watoto watakao hitajika kuingia form I.
Sera ipo mtandaoni naomba wadau ipakueni na kusoma. Sera omeondoa elimu ya msingi (primary education) na kuwa elim msingi ( basic education) na mfumo huo unabadiloka kutoka 1+7+4 +2 +3+ na kuwa 1+10 +2 +3+. Sera hii sasa in a raja kuwa elimu ya chini ni kidato cha nne. Hivyo mwanafunzi...
Matayarisho ya sera hii ya linaanza kushirikisha wa dau mwaka 2008 na kukamilika 2014. Maadiliko yaka an za mwaka 2015 kwa kubadilisha mita ala ya std 1& 2 kisha 3&4 na 5&6 imefanyika mapema mwaka huu. Pia mafunzo ya mabadiliko ya mitàala kwa darasa la awali ili fanyika mwaka huu mwanzoni.
Ili uzalishaji uongezeke ni muhimukubadili mfumo wa ajira kutoka ajira ya kudumu na pensheni juu ambao unatumika kwa sasa na kuwa ajira kwa mkataba. Hapa uzembe katika kufanya kazi hasa katika ofisi za umma utakoma na uzalishaji wa tija utakuwepo.
Mtume sliwaagiza pale Madina. Madina kuwa wa ki maliza kuswali waende kufanya kazi. Tambua kuwa wa Islam hawana siku ya saba ila wana siku 5 mbili Jumatano na Alhamisi zote ni 5 na wanatambua kabisa kuwa Mtume aliswali siku ya maandalizi ya Sabato.
Imani ya Sabato ni conservative na sio liberal. Wenye imani ya ki liberal wao wanaona kama wewe na hawaoni Ugumu wa kufanya shughuli zao siku ya ibada yao.
Inaonyesha hujui kutumia shule direct au thl huko utapata kila kitu sio past papers tu pia na majibu yake. Shule direct ni free ila thl una lipi a kwa mwaka 12000 tu. Itumie it akusaidie sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo au hapana:
Ndiyo: 1. Mimba ya mtoto gani: ikiwa ni wa kiume style ya deep ndiyo yenyewe kwani mgeguya kiume huwa na nguvu zaidi ikiwaitamwagwa kweye eneo la alkaline ambalo kimsingi liko ndani zaidi kwenye uke. kwa mtoto wa kike mbegu ya kike inapenda zaidi eneo la acid ambalo liko karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.