Style za Tendo zinauhusiano wowote na utungaji wa mimba.??

ngoja subscribe huu uzi kwa matumizi ya badae

kuna styles sizijui atii, ndo kwanza page ya 2 ya huu uzi tayari nishadaka style 4
 
Ndiyo au hapana:
Ndiyo: 1. Mimba ya mtoto gani: ikiwa ni wa kiume style ya deep ndiyo yenyewe kwani mgeguya kiume huwa na nguvu zaidi ikiwaitamwagwa kweye eneo la alkaline ambalo kimsingi liko ndani zaidi kwenye uke. kwa mtoto wa kike mbegu ya kike inapenda zaidi eneo la acid ambalo liko karibu na mlango wa uke.
2. Ikiwa uume ni mrefu unaogusa cervix almaarufu gololi unaweza kudhoofisha misuli ya mji wa mimba na kusababisha mimba kutoka hivyo isiwezekane kutunga mimba kabisa.

Hapana: Mimba huingia kila mmapojamiiana na hutunga baada ya siku 14. mfumo wa utungaji wa mimba huanzia nje kabisa ya kupitia endometrium skin ambayo huanda kujiviringisha kutokea nje na huchukua siku 14 kufika mji wa mimba hivyo kukamilisha tendo la kutunga mimba. hivyo mbeuyoyote itakayochaguiwa na kufungwa katika furushi laendometrium skin ndiyo itakayotungisha mimba.
 
Back
Top Bottom