Recent content by Kibakuli

  1. K

    Magufuli, Museveni wakubaliana kuufufua mradi wa Bomba la Mafuta

    July 31, 2020 Rais John Magufuli na mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni wamekubaliana kurejesha kwenye Ikulu zao mchakato wa kutandaza bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki. Bomba hilo linaloanzia Hoima, Uganda na kuishia Chongoleani, Tanga nchini Tanzania, limekwama baada ya kuwepo kwa...
  2. K

    Sheikh Ponda anaendelea kushikiliwa Polisi. Inasemekana yupo Kituo cha Magomeni

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda aliyekamatwa na Jeshi la Polisi siku nane zilizopita (Julai 9, 2020) yuko Kituo cha Polisi Magomeni jijini Dar es Salaam. Inadaiwa amekuwa akihamishwa kituo kimoja hadi kingine lakini akipelekwa Kituo Kikuu kwa ajili ya kuhojiwa...
  3. K

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawaaaaaaaaaa
  4. K

    Tuombeeni tunaanza mitihani ya UE, UDSM

    Best wishes Udsm students in all faculty and college
  5. K

    Supermarket hii inauza unga uliooza

    Hiyo hakuna majungu wala chenga, mimi pia nilinunua unga pale ulikuwa mbovu. TFDA wanakomaa na rushwa za vipodozi (Cosmetics) hawataki kukagua vyakula (Food). Vet supermarket Oil Com tunawaomba mjirekebishe la sivyo ni kuwatangaza kwenye vyombo vyote vya habari watu waache kuja kununua kwenu...
  6. K

    Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi mko wapi?

    Kwa kweli hiki ni kiama mshahara wa wafanyakazi ni kidogo sana nimepiga mahesabu nimebakiwa na sh elfu arobaini na tano baada ya kutoa umeme, gesi, pango, nauli na maji je bitawza kuishi na elfu 45000 kwa mwezi? Mimi ni mwalimu ninadegree ila bado nalipwa mshahara wa certificate. Nifanyeje mm
Back
Top Bottom