Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,133
- 2,128
Nauli zimepanda. Umeme, gesi na vyakula bei juu. Gharama za pango la nyumba zimepanda. Hivi hili hamlioni? Mnaridhika na mishahara inayotolewa kwa mnaowaongoza? Tucta mko wapi? CWT kuna nini? Chama cha madaktari wapi? Tughe hampo? Au mkishachukua chenu mapema mnafungwa midomo....!