Recent content by kibai

  1. kibai

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ali kama Wilson Mukama

    Dr. Bashiru Ally PhD.
  2. kibai

    JamiiForums Tanzania TPA yatenga Billioni 221 kujenga matanki ya kuhifadhia mafuta kutoka Uganda kwenye bandari ya Tanga

    Wewe unataka ukosoe kila kitu? watu wapewe moyo kufanya haya mambo siyo mnakurupuka tu.
  3. kibai

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika aitwa kujieleza mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge

    Ni kilio kwa kwenda mbele mwaka huu. Yule mama yetu Makinda alionewa sana lakini akawa na busara kwa akina Lissu. Sasa kaja mwanasheria mwezao tena PhD, sasa sijui anakiukaje kanuni.
  4. kibai

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi 20 tajiri Afrika-Tanzania pia ikiwemo hongera

    Sidhani kama takwimu hizi ni current....Tanzania tupo 50 plus sasa hivi. Lakini utajiri haupimwi kwa kias cha GDP, na ndiyo maana utaona Botswana iko chini ya TZ lakini ukifika Botswana wananchi wana maisha mazuri zaidi. Pato la kila mtu Tanzania ni dola 1000 kwa mwaka tuko nyuma sana. Zambia...
  5. kibai

    JamiiForums Tanzania Hii kitu itaniuma roho kwa miaka mingi sana

    Alidhulumiwa nini na nani? Unakaa unafikiria bila kuona mbele, hivi watu wangepiga kura kwa wabunge wa ccm halaf wamchague rais lowassa? kweli hizi logoc rahis zinakushinda kujua ubaki kusema amedhulumiwa? this is just an amazing little thinking capacity....
  6. kibai

    JamiiForums Tanzania Kukausha Hazina: Kikwete na Mwinyi wanajisikiaje?

    Hoja hii imekaa ki udini udini hivi.....ukiisoma vizuri sana unaona anamaanisha nini lakini angalia hii link.....https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html tafuta Tanzania halaf nenda people and society then endelea na mawazo ya kisanii kama haya
  7. kibai

    JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi, hakuna haja ya uchaguzi wa Urais 2020

    Naunga mkono
  8. kibai

    JamiiForums Tanzania Ona jinsi Magufuli alivyozomewa leo 22/10/2015

    Hapo ni Dar.....Mtaisoma namba.....
  9. kibai

    JamiiForums Tanzania PICHA:hiki anachokionyesha Lowasa, KImekosekana kwa watanzania wengi akiwemo na Magufuli.

    Magufuli mzuri sana na kwa bahati nzuri Urais ni taasisi kubwa sana....kuna wasaidizi wa kila upande ila inahitajika nguvu kufatilia mambo kwa nchi kama yetu....ukienda slow umepigwa na hakuna kazi.
  10. kibai

    JamiiForums Tanzania Mktano wa Lowassa kutoka Ifakara leo Oktoba 22

    ataongea dakika tano hivi.....
  11. kibai

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Ameshindwa kusema kuhusu ufisadi lol
  12. kibai

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2010 Tulifanya Ujinga, Mwaka Huu Tusifanye Tena Ujinga Ule!

    Labda mjinga mwenyewe...I cant even read such upumbavu huwezi kuwaita watanzania wajinga labda huo ni upumbavu
  13. kibai

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Hapa wote tuna akili, hivi kweli mnamsikia Lowasa akiongea? Kweli kila mtu anaweza patwa na chochote na hujafa umeumbika, kweli Lowasa anaweza kuongea jamani, mimi namkubali sana lakin naona kama jamani hebu tuwe fair kwa nchi yetu labda kama ni wasaidizi tu wataendesha nchi. Hakuna mtu anamweza...
  14. kibai

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilviyo, Magufuli bwaga manyanga tu

    Subiri october ndo utajua ni kura au makundi ya watu
  15. kibai

    JamiiForums Tanzania Alikiba umetuangusha watanzania

    kwani we nani? ulifikiri atakuwa UKAWA?
Back
Top Bottom