Habari za jioni wana J.
Tumepokea yote yaliyowasibu ndugu zetu wa Arusha kwa masikitiko makubwa sana, pia mwanzoni hatukuweza kuamini kuwa Tz imefikia kuwa nchi za Watu wanaoua wenzao kama wanauwa simba, nyati na wanyama wengine wa porini, kwa kweli inataka moyo kuamini yanayotokea. Kuna mambo...