Recent content by kiara

  1. K

    JamiiForums Tanzania Taharuki: Mduara wajitokeza angani kwenye Sayari ya Dunia

    Nam nauona sasahivi apa juu angani tena upo clear kabisa una rangi kama kijivu katikati..
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kukaa mda mrefu bila kufanya mapenzi huweza kumfanya binti kupoteza fahamu?

    M enyewe najishangaa mwaya nkipaka kitu kinagoma dah...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kina mama kuweni waangalifu na ma-house girls wenu ndio chanzo cha kuharibika ndoa zenu

    Hg ukiish nae km ndugu yako anakuona unajipendekeza kwako m sina ham nao kabisa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kimasai za kupunguza mwili

    Fanya mazoez Kula balance diet usile saaaana Epuka kunywa soda,pata juisi fresh Kunywa maj mengi Dawa za asili asili nyiiiiingi zinaweza kusababisha ini kufeli sababu zinapita moja kwa moja hazijapunguzwa ukali wake
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke anayependelea dona na vyakula asili

    Menu ya leo Dona lainiiiii+mnavu wa nazi+mlenda ulochanganywa na ngogwe zile chuuuuuungu+maziwa mgando... Napenda sana vitu vya asili
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kituko cha mwaka 90

    Higihiiiiiii eti ntapata umeme kilo ngapi .
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwana FA, Umepiga hatua 4 mbele umerudi 8 nyuma, Disapointing

    Unanitega ah ah Mbna miguu iko waz umenipenda Hebu uko!... Mbna kifua kiko waz unanitega ah ah... Kla uendapo nawe upoupo, ah Kla nfanyacho n vituko ss sema kama unataka............................... MwanaFa... bigi apu bigi apu, iyo nyimbo ulotoa kipind hiki mwaya hapana naungana na #blogger .
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufungua simu yangu, nimesahau pattern

    Wee koma usiniambie "" akili mgando "" ulikua na ufumbuz ungeusema tu bla kuongea ilo neno unajiooooona genius kwel!!!mxxxxiuuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nufaika na mafuta ya MISKI

    Shukran
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufungua simu yangu, nimesahau pattern

    solution hakuna apo zaid ya kwenda kuiflash..
  11. K

    JamiiForums Tanzania Find your handkerchief/tissue paper please

    I cried dah, inna lillah wainna ilaih rajiun
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kwenye simu,yalimusabisha akataka kujinyoga

    Gigigigihihiiiii et shamulashamula, yalimusababisha...dah! Pomule .
  13. K

    JamiiForums Tanzania Jaman hivi huyu mwanamke ni vipi?

    Hahahaaa dah wanawake acheni maneno hayo mtu hana kidum lakn utamchokonoa na maneno maneno mpk akitafute icho kidum km hana! .pole mleta mada chukua chps zako unletee :rolleyes:
Back
Top Bottom