Recent content by kianja kyamutwara

  1. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Aoteshwa kwato za Ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu

    kuna kaudanganyifu flani ila mkia mbona unachezacheza?
  2. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

    polepole kupewa ubaloz inaweza kua ndo kafukuzwa tiyar, maana akimaliza mdawake tu bas anarud kulima
  3. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya kunusuru Hifadhi ya Ngorongoro

    mshambuliaji kakumegea kidogo sibure
  4. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Mbarawa: Daraja la Tanzanite halilipiwi kwa sababu limejengwa kwa fedha za Serikali

    Na daraja hilo linatoka wapi kwenda wapi vile
  5. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi wa kuezeka Bunju

    weka mawasiliano yake tubonge nae ili tufanye kaz na kama kuna kazi ambazo ameishafanya ni vizur ukatupia ili kujenga imani maana mafundi wengine shida unamleta anakuambia mm nikonk akishaharibu nduki hao hapana
  6. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi wa kuezeka Bunju

    kama mada ilivyo, Ninaitaji fundi mzuri wa kuezeka nipo Dar Bunju kama yupo humu nicheck PM tuyajenge
  7. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei Zanzibar sasa imekuwa gumzo. Ni wakati sasa Rais Dkt. Mwinyi kujitafakari

    hata bara vilevile nchi imewashinda hawa mbogamboga
  8. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Mvua maeneo ya Dar es Salaam, sitashangaa kusikia watu wanalalamika

    mpaka mda huu mvua ipo inapiga yaan kiufupi mambo mawili mvua na jua havina kias kwa dar ikitokea jua linaunguza kama nn na mvua ikipiga mpaka mafuriko acha tulalamike buana.
  9. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Kwanini kauli zake sio za kweli?

    kwaiyo populationi watu milioni 50 humo kuna watoto, wazee, walemavu, n.k halafu hiyo 24m itatoka wapi usimtetee huyu aaminiki tena mm tangu amesema jamaa yupo na mafaili baada ya siku nikaona gwaride sina hamu nae
  10. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshane, ajira ina nafuu na uhakika zaidi kuliko kujiajiri

    ninakueleza haya kwasababu niliajiriwa na kuacha na sasa mm ni mtu huru. ilikua inanirazimu kuamuka saa kumi na moja nijiandae ili angalau saa moja niwe kazini kutokana na usumbufu wa foleni za dar ilikua kila siku kuanzia saa mbili mpaka saa moja nipo kazini kwani kulingana na kazi yangu wakati...
  11. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshane, ajira ina nafuu na uhakika zaidi kuliko kujiajiri

    tuliza kichwa utajua kujiari na kuajiriwa kipi bora kuajiriwa ni utumwa hatari sana usiniambie
  12. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Kumbe wenzetu ngozi nyeupe wanaendesha teknolojia kwa uchawi, leo nimeshuhudia kwa macho yangu

    na sio kutumia kwa maendeleo tu, waafirika uchawi wao ni wausiku wakati wenzetu wanauaply mchana kweupe. ila swala la uchawi upo huwez tengeneza ndege ipae kama si uchawi kwa kivuli cha sayansi.
  13. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Tozo zetu hazifanyi kazi tulizoambiwa

    utatwanga maji kwenye kinu, ccm ni ilele milele na milele amina, jitaidi kupaza sauti mahaili ulipo tupate katiba mpya tuweke viongoz watakao sikiriza wanainchi kama waajiri matatizo yote hayo yataisha.
  14. kianja kyamutwara

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitokaa iendelee milele hata mfanyeje

    maendeleo tutayasikia kwa akiri hiz za viongoz mtu kwenda uk watu nikusifu kutwa nzima kila kitu kiki utatokaje hapo
Back
Top Bottom