Mvua maeneo ya Dar es Salaam, sitashangaa kusikia watu wanalalamika

Vile MATAGA wanafurahia wakisikia kuwa kudra imefanya kazi na sasa mvua inanyesha👇😁😁😁

Hawajui kwamba Taifa haliwezi kuendelea wala kuongozwa kwa kutumia kudra.Hawajui kwamba suala la mvua na ukame ni mipango ya binadamu.

301525.jpg
 
Tupieni kapicha basi wadau si unajua wengine tupo mbwinde hatuelewi chochote kuhusu mjini dasilaam
 
Binadamu ni mtu wa ajabu sana, ana hulka ya kulalamika kila kitu.
Sitashangaa kusikia wanaanza kulalamika
1. Mvua zimekua nyingi,
2. Mafuriko serikali haitujali
3. Jangwani hapapitiki usafiri shida
4. Biashara zimedoda

Hata hatujulikani tunataka nini

Tushukuru tunachokipata
Kwahiyo watu wasilalamike kwa ubovu wa miundombinu kisa walilalamika kuchelewa kunyesha kwa mvua?

Ubovu wa miundombinu ni haki kwa wananchi kulalamikia kwasababu inachelewesha upatikanaji wa vipato vyao.
 
Yaani mvua imejua siku ya kunyesha, walevi wote wanaumwa leo.
 
Binadamu ni mtu wa ajabu sana, ana hulka ya kulalamika kila kitu.
Sitashangaa kusikia wanaanza kulalamika
1. Mvua zimekua nyingi,
2. Mafuriko serikali haitujali
3. Jangwani hapapitiki usafiri shida
4. Biashara zimedoda

Hata hatujulikani tunataka nini

Tushukuru tunachokipata
Mara ooh Tuingie kwenye maombi mvua zipungue...
 
mpaka mda huu mvua ipo inapiga yaan kiufupi mambo mawili mvua na jua havina kias kwa dar ikitokea jua linaunguza kama nn na mvua ikipiga mpaka mafuriko acha tulalamike buana.
 
Back
Top Bottom