Wanawake mna mambo, ukitakwa unajifanya hukuja kwa kazi hiyo, ukiguswa unajifanya mkali, ukiwashiwa TV hutaki sasa mnatakaje? Tendo hilo pia lataka maandalizi, kama unakuja kwa kazi hiyo niandae.
Anagalia yanaweza kumsababishia pneumonia Kama yameingia kwenye njia ya hewa na dalili yake ya kwanza ni kukohoa, lkn kama hayajaenda huko yakiwa kwenye mfumo wa chakula kama ni mengi ataharisha, na kama ni kidogo hayana madhara sana na anaweza asihitaji dawa yoyote na hasa kama hahatishi wala...
Ni kweli mpira wetu haukuwa mzuri sana lakini ukizingatia ukomavu wetu kimataifa na bafanabafana, pia ukizingatia uenyeji wao yote hayo yalitosha kutufanya tuathirike kisaikolojia na kukosa confidence mchezoni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.