TAIFA STARS V/S BAFANABAFANA

Lakini.mpira tuliocheza ulikuwa mbovu sana!
Ni kweli mpira wetu haukuwa mzuri sana lakini ukizingatia ukomavu wetu kimataifa na bafanabafana, pia ukizingatia uenyeji wao yote hayo yalitosha kutufanya tuathirike kisaikolojia na kukosa confidence mchezoni
 
bora tungemwachia bafana bafana apite nusu fainali Mpira mbovu sana tumecheza hlf defence haikutulia kabisa bafana walishindwa wenyewe tu wamechezea nafas nyingi mno sema siku ya kufa nyani ndio hivyo tena lkn sijipi matumaini ya kufika fainali kabisa ispokua tulipofikia sio mbaya kwa soka letu la kibongo bongo
 
Wakuu pamoja na kucheza mpira mbovu lakini tumewafunga na bila ya wao kuamini kilichotokea ni makosa madogo madogo tuu hasa sehemu ya kiungo cha ulinzi
 
bora tungemwachia bafana bafana apite nusu fainali Mpira mbovu sana tumecheza hlf defence haikutulia kabisa bafana walishindwa wenyewe tu wamechezea nafas nyingi mno sema siku ya kufa nyani ndio hivyo tena lkn sijipi matumaini ya kufika fainali kabisa ispokua tulipofikia sio mbaya kwa soka letu la kibongo bongo
Wabongo bwana
 
Mimi naona bwana yule aliyeko mahabusu ndo alikuwa na gundu nahisi aendelee kukaa hata miaka kadhaa taifa stars itaenda kombe la dunia amini nawaambia kwa mpira ule
 
Lakini.mpira tuliocheza ulikuwa mbovu sana!
19601302_1970185719673665_1461188687495127168_n.jpg
 
bora tungemwachia bafana bafana apite nusu fainali Mpira mbovu sana tumecheza hlf defence haikutulia kabisa bafana walishindwa wenyewe tu wamechezea nafas nyingi mno sema siku ya kufa nyani ndio hivyo tena lkn sijipi matumaini ya kufika fainali kabisa ispokua tulipofikia sio mbaya kwa soka letu la kibongo bongo

Mpira magoli jamani, chenga mbwembwe
 
Tulishinda kwa teknolojia kutoka MWANZA iitwayo " MBAO STYLE" timu za simba na yanga najua wanajua nini maana ya technolojia hii maana utashambulia wee, utaliona goli ili hapa lakinio utapiga nje au juu. Washukuriwe sana vijana wa mbao waliopo taifa stars nadhani walienda na mikoba husika maana wale wa sauzi walitaka kulia
 
Teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom