Tunajua sizonje anataka alipeleke Taifa anavyo taka, Hapo ndio shida inapo anzia.. Hakuahidi Kufuta Mfumo wa vyama Vingi.. Kuzima Bunge.. Kutuletea wasio julikana.. Mauaji ya Watu na kuwafunga kwenye viroba Kisha kuwatosa kwenye maji.. Kukatakata watu..kupiga watu risasi kama Lissu na Madudu...
NEC.. Wawasilishe hoja za kwa nini wasichukuliwe hatua kwa kitendo chao cha kuchelewesha kutoa 'viapo', Kwa mawakala wa upinzani kama sheria inavyo wataka... Hivyo kuwa chanzo cha Msiba wa Mpendwa wetu Mwanafunzi na kijana mdogo wa umri wa 22.Siku zote nasema 'Chanzo' huko kwingine anatupoteza...
Je wa Africa tulikua na imani kabla ya Toleo hili la pili la kiimamani? Kama jibu ni ndio ni Wazi kua tulikua na MUNGU wetu. Wengi wanafikili kwamba Ukoroni ulikuja kuchukua, madini, pembe za Ndovu na kadhalika... Kumbe Mzungu alikuja "kupola... Kila kitu... Madini yetu Imani zetu..kuvuruga...
Pongezi kwa, Katibu Mwenezi Ndugu Polepole. na Mheshimiwa sana Rais Magufuli, Biashara inalipa wazee ila Tukumbuke hii Biashara haikua moja ya Ahadi za Mwenyekiti wetu Mpendwa. Nimalize kwa kusema "Bias hara Haram haijawai Kulipa! Na ikilipa ni kwa mda tu, Mbaya zaidi hizi drama zinafanywa kwa...
Kuna Mbunge aliwai sema, Baba Jesiikaa anaongea hovyo... Afungwe break! Aliona mbali.. Na kuna wengine walisema inchi inaendeshwa kama imekatika usukani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.