Tunajifunza nini kwa yaliyomtokea Mugabe?

Ni vigumu sana kuwaongoza Slaves ambao waliisha zoea mijeledi na mateso toka kwa Slave masters. Waliounda Hilo zengwe lote huko Zimbabwe Ni wazungu waliotimuliwa kutoka kwenye mashamba makubwa wanayoyamiliki na kupewa wazawa. Sikushangaa issue ya Zimbabwe ilichukua almost dakika Kumi katika vyombo vya habari vya magharibi sababu wait ndo wahusika hasa wa hayo mapinduzi. Waafrika kwa ujinga wetu tutaendelea kuteseka kila kukicha kwa vikundi vinavyojiita kuwa Ni vya waleta mabadiliko . It's very sad . Mchango wa Mugabe wataukumbuka . A slave will always be slave
Mkuu hebu nisaidie kitu kimoja, hivi na Mugabe kumtimua Makamu wake wa Rais na nafasi hiyo kumwandalia mkewe nayo alishauriwa na watu wa Magharibi??
 
Hakuna marefu yasiyona ncha,hakuna mkate mgumu mbele ya chai,wakuu wa majeshi waende Zimbabwe wakafundishwe kuzisimamia nchi zao

CDA yule ni zaidi ya mzalendo,Mungu atakua amemuandalia makao mema siku za mbeleni
It's very true

Yule Mkuu wa Majeshi ni zaidi ya Mzalendo

Aliweka maslahi mbele ya wazimbabwe kuliko maslahi ya mtu mmoja ambaye ni Robert Mugabe!
 
Mtaongea meengi sana ya kishabik, lkn ukweli mchungu utabaki pale pale kuwa dikteta Mugabe anacheza dakika za majeruhi na tayari keshapigwa bao..!

Ameua kabisa demokrasia na uchumi wa Zimbabwe na hadi sasa anaondoshwa kwa aibu kama Gaddafi, hana legacy yoyote nzuri anayowaachia Wazimbabwe.

Waafrika sasa yafaa tuwakatae hawa watawala wa kimabavu kwani ni kikwazo cha maendeleo ya Afrika kitu kinachofanya tubaki kuwa "The laughing stock of the world" pamoja na kuwa na rasilimali luluki.
 
CCM hawapendi kabisa mada za namna hii
Wahenga tunasimama na muhenga mwenzetu Mugabe kama kweli kuapa kuilinda katiba huwa kuna maana. Katiba inamwelekeza amirijeshi mkuu kutokukubali ku sarender!

Mugabe tough guy.

Isitafsiriwe kuwa napenda zimbabwe iongozwe na mtu mmoja kwa muda mrefu, lakini kama wana katiba basi nasisitiza katiba iheshimiwe.
 
Uweled, hekima,busaraaaa na utawal bora kwa kufuata sheria ndo tunaouhitaji watanzania na sio ubabee ubabee tu
 
It's very true

Yule Mkuu wa Majeshi ni zaidi ya Mzalendo

Aliweka maslahi mbele ya wazimbabwe kuliko maslahi ya mtu mmoja ambaye ni Robert Mugabe!
Hakuna uzalendo kwenye kuvunja katiba.
Mkuu wa majeshi amepaswa na huu ni wajibu wake wa kikatiba kumtii amirijeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.

Angekuwa mzalendo wa kupigiwa mfano kama angesimamia haki ya uchaguzi kutendeka na kuonekana imetendeka.
Nchi siyo ya Zanu pf.
Nchi ni ya wazimbabwe.
Ndio wanahaki ya kuamua nani awaongoze.

Huyu mkuu wa majeshi anaenda kumpa nchi Mnangagwa!
Huyu aliyewaua wandebele kwa makumi ya maelfu? Stupid.

Katiba iheshimiwe hata kama ni mbuvu, mbona sisi ya kwetu mbovu lakini tunaiheshimu?
 
CCM hawapendi kabisa mada za namna hii
Kwa vile hawana tofauti na Mugabe...............!!

Wao wanadhani kwa kutubadilishia sura kila baada ya miaka 10 ni demokrasia tosha. Lakini kiukweli, Mugabe amekuwa anashinda kwa sanduku la kura kwa mbinu zile zile za CCM. Tofauti yetu na wao ............. kule ni Mtu huku ni chama!!
 
Mtaongea meengi sana ya kishabik, lkn ukweli mchungu utabaki pale pale kuwa dikteta Mugabe anacheza dakika za majeruhi na tayari keshapigwa bao..!

Ameua kabisa demokrasia na uchumi wa Zimbabwe na hadi sasa anaondoshwa kwa aibu kama Gaddafi, hana legacy yoyote nzuri anayowaachia Wazimbabwe.

Waafrika sasa yafaa tuwakatae hawa watawala wa kimabavu kwani ni kikwazo cha maendeleo ya Afrika kitu kinachofanya tubaki kuwa "The laughing stock of the world" pamoja na kuwa na rasilimali luluki.
Umeongea ukweli mchungu ambao wana-Lumumba hawataki kabisa kuusikia!

Cheo ni dhamana, mtu unapopewa madaraka ya kuwaongoza watu, ni lazima uwasikilize wanasema nini.. ..

Sasa mtu unapewa dhamana ya kuliongoza Taifa la watu zaidi ya milioni 50, lakini kwa kiburi cha madaraka na ulevi wa hali ya juu ya madaraka hayo, unajiona wewe ndiyo wewe wala hutaki ushauri kutoka kwa mtu yeyote!

Tunasubiri 2020 tuone kama kura yake moja na ya mama Jesca ndizo zitakazomrejesha Ikulu!
 
Lengo lako ni kudhalilisha viongozi. Nyie vijana ambao hamjagusa hata JKT mnasumbua sana. Issue za Zimbabwe ni za wanazimbwabwe. Kuwashwa washwa kutakuondolea uwezo wa kufikiri.
Hivi umeisikikiza hotuba ya jana ya Mugabe? Je umeielewa. Usidhani ZANU-PF ni kama CHADEMA. Wanautaratibu wao na katiba yao.

Ni vizuri ungeleta katiba yao useme inasemaje. Maamuzi ya vyama hayaamuliwi kihuni kihuni kama akina Mbowe kubadili gia angani. Chama imara kinafanya maamuzi kwa kufanya mikutano halali.

Wewe ungesubiri mkutano wao wa ZANU-PF ndio uje na malalamiko yako humu kuhusu nchi za watu.
Mtu aliyekosa ajenda anarukia rukia kila jambo linalotokea. Ni ushamba, jipangeni mjenge chama kiwe imara. Issue za kudhalilisha viongozi hazisaidii zimepitwa na wakati. Sasa hivi mnapuuzwa tu mnaonekana kama mazezeta.

UTAMADUNI WA MWAFRIKA ETI NI MWIKO KUMWAMBIA UKWELI KIONGOZI WAKO.
 
Ni vigumu sana kuwaongoza Slaves ambao waliisha zoea mijeledi na mateso toka kwa Slave masters. Waliounda Hilo zengwe lote huko Zimbabwe Ni wazungu waliotimuliwa kutoka kwenye mashamba makubwa wanayoyamiliki na kupewa wazawa. Sikushangaa issue ya Zimbabwe ilichukua almost dakika Kumi katika vyombo vya habari vya magharibi sababu wait ndo wahusika hasa wa hayo mapinduzi. Waafrika kwa ujinga wetu tutaendelea kuteseka kila kukicha kwa vikundi vinavyojiita kuwa Ni vya waleta mabadiliko . It's very sad . Mchango wa Mugabe wataukumbuka . A slave will always be slave
Hivi Wazungu ndio walio mshawishi amtimue Makam wake? ili nafasi yake ampe mke wake...! Ameji maliza mwenyewe kwa Sumu yake Mwenyewe!
 
Lengo lako ni kudhalilisha viongozi. Nyie vijana ambao hamjagusa hata JKT mnasumbua sana. Issue za Zimbabwe ni za wanazimbwabwe. Kuwashwa washwa kutakuondolea uwezo wa kufikiri.
Hivi umeisikikiza hotuba ya jana ya Mugabe? Je umeielewa. Usidhani ZANU-PF ni kama CHADEMA. Wanautaratibu wao na katiba yao.

Ni vizuri ungeleta katiba yao useme inasemaje. Maamuzi ya vyama hayaamuliwi kihuni kihuni kama akina Mbowe kubadili gia angani. Chama imara kinafanya maamuzi kwa kufanya mikutano halali.

Wewe ungesubiri mkutano wao wa ZANU-PF ndio uje na malalamiko yako humu kuhusu nchi za watu.
Mtu aliyekosa ajenda anarukia rukia kila jambo linalotokea. Ni ushamba, jipangeni mjenge chama kiwe imara. Issue za kudhalilisha viongozi hazisaidii zimepitwa na wakati. Sasa hivi mnapuuzwa tu mnaonekana kama mazezeta.
Amakweli umeguswa pabaya! Kwani ukienda jkt ndio unakubaliana na uvunjaji wa katiba na kukubaliana na kilakitu anachoagiza mkulu hata Kama kiko nje ya utaratibu?... Kwa hakika Mugabe ndio huyo anaondolewa Kabla ya muda aliojipangia.
 
kuna mambo mengne ya kijasir watu wankuwa waoga wa kufanya japo nia wanakuwa nazo ssa kwa hil la Mugabe bas kuna wengne pia watweza kufnya iv la sivyo weny nnch wale vzur na weny kuvaa vitenge kma Kabila
 
Mbona nyinyi watu wa Lumumba mnapoishiwa hoja mnakimbilia matusi??

Mimi nimeleta hoja kuwa kuna "similarities" kati ya uongozi wa Mugabe na huyu jamaa yetu.

Mkuu si unajua hawa jamaa wamebakishiwa akili za kuvukia barabara tu na kumsifia mkulu?
 
Ni vigumu sana kuwaongoza Slaves ambao waliisha zoea mijeledi na mateso toka kwa Slave masters. Waliounda Hilo zengwe lote huko Zimbabwe Ni wazungu waliotimuliwa kutoka kwenye mashamba makubwa wanayoyamiliki na kupewa wazawa. Sikushangaa issue ya Zimbabwe ilichukua almost dakika Kumi katika vyombo vya habari vya magharibi sababu wait ndo wahusika hasa wa hayo mapinduzi. Waafrika kwa ujinga wetu tutaendelea kuteseka kila kukicha kwa vikundi vinavyojiita kuwa Ni vya waleta mabadiliko . It's very sad . Mchango wa Mugabe wataukumbuka . A slave will always be slave

Hakuna anayekataa mchango wa Mugabe katika ukombozi wa Zimbabwe, lakini hiyo haimpi kinga ya kutosahihishwa anapokosea, unafikiri wewe una uchungu na Ziumbabwe zaidin ya kina Munangagwa?Mzee amefikia mwisho wake wa kuongoza na aliyekuwa anaongoza toka chumbani ni Grace ambaye hakushiriki yeye katika vita ya ukombozi na ndiyo kilichowakera wapiganaji. Na hadi sasa wanamheshimu mzee ndiyo maana wanatumia njia ya kistaarabu kumpumzisha vingevyo wangemfanyia kitu mbaya.
 
Wahenga tunasimama na muhenga mwenzetu Mugabe kama kweli kuapa kuilinda katiba huwa kuna maana. Katiba inamwelekeza amirijeshi mkuu kutokukubali ku sarender!

Mugabe tough guy

Isitafsiriwe kuwa napenda zimbabwe iongozwe na mtu mmoja kwa muda mrefu, lakini kama wana katiba basi nasisitiza katiba iheshimiwe.
Je Katiba hiyo aliyoapa kuilinda ndiyo inayompa mamlaka ya kumtimua Makamu wake na nafasi hiyo "kumwandalia" mkewe Grace ambaye hana sifa za kuwa Makamu wa Rais??
 
Back
Top Bottom