Recent content by khidego

  1. khidego

    Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta?

    JPM alishasema kunakuwa na mipigo ya matumizi hewa... ilo liko wazi mbona
  2. khidego

    Rais Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga

    kiukweli maza hajui kinachoendelea huku ground, watu hata kama wanaongea upotoshaji ukiuacha uongelewe kwa mda mrefu, kuja kuwabadilisha wanaoambiwa itachukua miongo. na anatakiwa atuonyeshe kwa ni upotoshaji kwa kutoa maelezo sahihi sio kuwanyamazisha wanaotusanua
  3. khidego

    Waraka wa Kanisa Katoliki: Je huu utakuwa mwisho wa ushawishi wa taasisi hii kubwa?

    kikubwa tunaendelea kuelewa kina nani wapo kwa ajili ya maslahi ya nani,
  4. khidego

    Kwa namna Watanzania masikini wanavyohangaika kupata chakula Rais Samia mfute kazi ya uwaziri Hussein Bashe

    Tumekuwa wapumbavu sana kwene hii nchi, Kukosa maono na mipango ya mda mrefu ndo kunatufikisha hapa. Yaan nchi ambayo tuna zaidi ya asilimia 70 ya ardhi ambayo haitumiki na ingeweza kufaa kwa kilimo.. tukazalisha mpk tukawa na surplus ya kuuzia majirani... ila bado tunawaza kipumbavu na...
  5. khidego

    Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Yaani bado tatizo litakuwa vile vile, mtu kasoma miaka mitatu unakuja kumpa kimtihani ya page tatu afu um judge kwamba hafai kisa kashindwa icho kimtihani... linatengenezwa bomu la kukithiri rushwa kwene upatikanaji wa izo ajira. Ilitakiwa vigezo vya kusoma ualimu viwe vinachukua wanafunzi...
  6. khidego

    Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

    mi nliacha kazi na mil 6 benk... na siji kuajiriwa tena
  7. khidego

    Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

    mwenyewe bado sielewi anaomba ushauri upi
  8. khidego

    Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

    Wangapi wanarithishwa Mali na wanazichezea na kurudi kuwa omba omba,. Kuweza kuendeleza Mali ulizorithi kunahitaji usmart wa hatari
  9. khidego

    Tumefanywa Misukule muda mrefu. Lema tukomboe

    Uko sahihi kwa kiasi fulani, hii ndo sababu kwa nini serikali ndio yenye mamlaka ya kuprint fedha, lakini hawatumii pesa walizoprint kufanya mambo yao, wanazileta kwene mzunguko then wanadai kodi kwa sisi maskini ili wafanye mambo yao. Hii ina maana shughuli za uzalishaji ndo zinazocontrol...
  10. khidego

    Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

    Kuna dereva fulani wa kanisa fulani alishatoaga ushuhuda jinsi mambo ya uchawi na huo ulimwengu mwingine unavofanya kazi. Ni kwa kwamba kwa mtu ambae huna connection na huo ulimwengu, mean hujawahi lishwa wala kupewa ama kuunganishwa na hayo madawa huna uwezo wa kutambua ama kuona kinachoendelea...
  11. khidego

    Bashe alitupia lawama Bunge kuharibu Kilimo

    Kwa sasa simuoni mwanasiasa anaejaribu kupigania mambo ya msingi kwene jamii yetu kama Bashe. Ifike mahala watanzania tuwe tunafundishwa mambo ya kawaida ambayo tunahisi tunayaelewa ila kumbe hatuelewi chochote. Taifa letu inatakiwa lijikite katika shughuli za kubadil rasilimali za asili kama...
  12. khidego

    Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

    Usirudiane na x hata kama mmeachana miezi michache, bora ufe
  13. khidego

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nilichojifunza kwene hii mijadala ni kuwepo kwa watu ambao wana uchache sana wa taarifa sahihi na labda uchache wa uwezo wa kupambanua mambo pia. Kundi hili limegubikwa na kumuwekea mtu maneno na malengo ambayo muhusika hajawahi kuyasema, yaani ni kama mtu anajielezea kila siku yeye anataka...
Back
Top Bottom