Kwa hiyo waliotekwa na kuuwawa wengine kupotea jumla wanajiua wenyewe? Aliyetekwa na kwenye basi mchana kweupe Kisha kuuwawa alijiua mwenyewe, yule aliyetekwa na kupigwa risasu ya fuvu la kichwa Kisha kutupwa mbuga ya katavi ili aliwe na wanyama alijiteka mwenyew!!? Endeleeni kutuonyesha sura...
Kulikuwa na umuhimu mkubwa,kumwajiri kocha mkuu asimamie zoezi la usajiri ni Kosa kusajiri kwa kutumia ripoti ya kocha aliyeondoka Hawa kila mmoja na msimamo na falsafa yake ndiyo maana mlitaka kumwacha kibu kipindi Nanakuja robentinyo kwa kutumia ripoti ya aliyeondoka lakini alipofika akasema...
Siyo Vibaya kujifunza kw waliokutangulia kiujuzi , ile ni furnace ya waigizaji wetu kupata uzoefu na ujuzi pia kuangalia uwezekano wa kuungana nao katika kazi za Sanaa uandaaji nk, Hawa watu wa Asia nchi nyingi zilizoendelea walikaa Chini wakajiuliza Ili tuwe na maendeleo tunahitaji nini...
Hakuna haja ya kupaniki hajamtaja Mtu jina wala nchi mnajuaje kama kawataja nyingi, hata Congo DRC kuna rasilimali nyingi Kuliko Sisi Kyle Zambia kuna shaba, Zimbabwe Almasi, Botswana kuna Almasi na bado nao ni masikini Nadhani tutumie nauli yake kujitathimini badala ya kulaumu
Mtawala kwa kunywa Chale alishawaji kusema Mara Nyingine Kuwa mnyaruanda yeyote atakayesaliti nchi watamfuaya sehemu yoyote duniano, na tumeshuhudia majenerali kadhaa waliotoroka na kujificha nchi za Watu wakiuawa mfono jeAfrika kusini na Zambia na Mara zote SERIKALI ilikanusha, sasa jumlisha...
Nakumbuka pofesa muhongo aliwahi kushauri Kuwa tuachane na uwekezaji mkubwa kwenye umeme wa maji kwakuwa so wa uhakika kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa Bali tuwekeze kwenye umeme wa gesi na kwamba gesi inaenda Kuwa nishati kuu duniani Latina uzalishaji wa umeme lakini walimpuuza,
Hiyo popcon inakiambata cha homoni za kike gestrojen( kama nimekosea kuiadika mnisahihishe) hivyo kushusha homoni ya kiume Na hatimae nguvu kupungua, bia aina zote lia hazifahi kwa afya ya uzazi wa mwanaume nimechunguza bia bia zote nimegundua zina kiungo kinaitwa Hops ambacho kina kiambata cha...
Sawa ila hatujazoea kutosikia taarifa ya ziara ya viongozi mkubwa kama hiyo kusafiri kimya kimya kwa shughuli za kiserikali, Mara zote tumetangaziwa kama ilivyo kwa mama kule Dubai, sasa mtuambie yupo nchi gani? Unions mwananchi wanahoji hii tafsiri take ni Kuwa wana mapenzi men's na viongozi...
Kuhusu kula Karanga na kupata choo lakini au kuendesha INA wezekana unakula Karanga zisizokuwa safi jaribu kuziosha ikiwezekana na maji ya moto ili Kuwa na vijidudu pia kula wastani wa kiganja kimoja kwa Siku, kwa kuongezea Faida Nyingine ya kula Katanga INA let's afya ya Moyo na kukukinga na...
Naomba elimu kidogo hapo kuhusu fenesi INA Virutubisho gani ? Mi ni mpezi wa Genesis, kuhusu Katanga najua INA madini ya zinc ambayo ndiyo yana Mchango katika afya ya mfumu wa uzazi kwa ujumla, kwa Shaka LA kuongea uwingi wa shahawa najua mbegu za maboga zona Mchango mkubwa na mama anaenyonyesha...
Wakati Fulani niliwahi UK's kia watanzania wanao ishi ughaibuni walikuja na mpango wa kujenga DARAJA LA kukunja ambalo garama ni nafuu kuliko LA kudumu uliishia wapo ile mpango?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.