Recent content by KHAMISsecret

  1. KHAMISsecret

    Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

    Unakoelekea unataka kumaanisha Trump ni Nabii? Tafadhali bhana! Mtu huyu anaelalamikiwa kuwakashifu wanawake mpk watoto wadogo unabii wake utokee wap??
  2. KHAMISsecret

    Gwajima apingana na msimamo wa Serikali juu ya mji mkuu wa Israel. Asema Jerusalem ndio mji mkuu, ampongeza Spika Ndugai

    Wanaosema chimbuko la ukiristo ni israel wanipe takwimu za wakristo wanaoishi israel
  3. KHAMISsecret

    Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    Ukweli unajulikana... Ila kama ni kweli walibaka na wakawalawiti watoto wadogo.... Mh. Rais itakua hakuzitendea haki familia za watoto hao. Aidha vyovyote iwavo, mimi cungi mkono kabisa wananchi kuwafanyia shangwe watu hao wakati wakitoka gerezan.... Maana ni iman yangu kua hakuna mwananchi...
  4. KHAMISsecret

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nimepanga kufanya iyo kazi, so nasubiri wajuzi watueleze
  5. KHAMISsecret

    Mwanamama akamatwa akiiba pombe dukani

    Kisha machupa mawili yote yale, labda anakwenda kuuza...
  6. KHAMISsecret

    Nawasilisha maombi kwa kila mwenye huruma kuiombea Kyela

    Jaman daktari mwakiembe yuko wapi wakati hali ikiwa hivyo..???
  7. KHAMISsecret

    Mwanamama akamatwa akiiba pombe dukani

    Uyu dada ni chuga na alowaibia pia ni wa uko uko, ila dah.. Kajifedhehesha aiseee
  8. KHAMISsecret

    TV1 Kurusha Live ligi kuu ya Uingereza(EPL)

    Gud newz but si bure kama ilivyotangazwa iyo...
  9. KHAMISsecret

    Imethibitika mabaki yaliyookotwa Pemba ni ya Air Malaysia, Mvuvi aliyeokota azawadiwa Milioni mbili

    Safi sana... Ila kazawadi katononoke kdg angalau apate kaboti kauvuvi...
Back
Top Bottom