acha uzwazwaunafahamu maana ya Uislamu kijana au umeamua kuandika tu.
jifunze maana ya UISLAMU kisha ndipo uulize kwanini waislamu wanasema ADAM IBRAHIM na YAKOBO walikuwa Waislamu.
hivi muhammad hakujua maana ya uislamu hadi akaja na hii singo
huna hata haya kuinua bakuli lako na kutamka Ibrahim, Adam, na Yakobo ni waisilamu wee

Kweli umekuja nalo.songa mbele palipobakiaKwanza tuanze na mwaka wa 1948 ambao Israel ilitanganzwa kuwa taifa. Ukiangalia haraka haraka utagundua kuwa tamko la Rais Trump kuwa Yerusalem ni Mjii mkuu wa Israel laweza kuwa la kinabii, maana limetamkwa siku chache kabla ya kuingia 2018. Ikimaanisa 2017 kutoa 1948 ni miaka 70.
Je, miaka 70 maana yake nini Kibilia?
UNABII WA KWANZA:
“Kwa sababu [Waisraeli] hamkuyatii maneno yangu [Mungu], tazama, ninatuma . . . Nebukadreza mfalme wa Babiloni, . . . , nami nitawaleta wao [Wababiloni] juu ya nchi hii na juu ya wakaaji wake . . . Na nchi hii yote itakuwa mahali palipoharibiwa, kitu cha kushangaza, na mataifa haya yatamtumikia mfalme wa Babiloni miaka 70.”—Yeremia 25:8-11.
UTIMIZO:
Baada ya kulizingira jiji hilo kwa muda mrefu, Nebukadneza alilipora na kuliharibu Yerusalemu katika mwaka 607 K.W.K. Pia aliyashinda majiji mengine ya Yudea, kutia ndani Lakishi na Azeka. (Yeremia 34:6, 7) Aliwahamisha waokokaji wengi na kuwapeleka Babiloni ambako walikaa wakiwa mateka kwa miaka 70.
Historia inafunua nini?
● Biblia inaonyesha kwamba Nebukadneza ndiye aliyekuwa mfalme wa Babiloni karibu na wakati ambapo Yerusalemu liliharibiwa. Vitu vya kale vilivyochimbuliwa vinaunga mkono kile ambacho Biblia inasema kuhusu kuwapo kwake. Jiwe fulani la shohamu lililo na mchongo limewekwa huko Florence, Italia. Sehemu fulani ya maandishi yaliyo juu ya jiwe hilo yanasema hivi: “Kwa heshima ya Merodaki, bwana wake, Nebukadneza, mfalme wa Babiloni, alipokuwa hai aliagiza hili lijengwe.” Nebukadneza alitawala kuanzia mwaka wa 624 hadi 582 K.W.K.
● Kitabu The Bible and Archaeology kinasema kwamba mambo yafuatayo yamethibitishwa baada ya eneo la Lakishi kuchimbuliwa na kufanyiwa uchunguzi: “Uharibifu wa mwisho ulikuwa wenye jeuri, na moto ulioharibu jiji [Lakishi] ulikuwa mkali sana hivi kwamba mawe ya chokaa yaligeuzwa kuwa ungaunga wa chokaa.”
UNABII WA PILI:
“Kupatana na kutimia kwa miaka 70 katika Babiloni [mimi Mungu] nitawakazia ninyi fikira [Wayahudi walio uhamishoni], nami nitawatimizia neno langu jema kwa kuwarudisha tena mahali hapa [nchi ya Yuda].”—Yeremia 29:10.
UTIMIZO:
Baada ya miaka 70 ya uhamisho, kuanzia 607 hadi 537 K.W.K., Mfalme Koreshi wa Uajemi aliwaachilia Wayahudi waliokuwa utekwani na kuwaruhusu warudi nyumbani kwao ili wakajenge upya hekalu huko Yerusalemu.—Ezra 1:2-4.
Historia inafunua nini?
● Je, Waisraeli waliendelea kuwa mateka Babiloni kwa miaka 70 kama Biblia ilivyotabiri? Hebu ona maelezo ya Ephraim Stern, ambaye ni mmoja wa wataalamu wakuu wa wachimbuaji wa vitu vya kale nchini Israel. “Kuanzia mwaka wa 604 K.W.K. hadi 538 K.W.K.—hakuna uthibitisho unaoonyesha kuwa kuna mtu aliyeishi nchini Israeli. Wakati huo, hakuna hata mji mmoja ulioharibiwa na Wababiloni unaoonekana kuwa ulikuwa na watu.” Kipindi hicho ambacho hakukuwa na mtu katika eneo lililoshindwa kinapatana sana na uhamisho wa Waisraeli kupelekwa Babiloni kuanzia 607 hadi 537 K.W.K.—2 Mambo ya Nyakati 36:20, 21.
Baada ya utawala wa Sulemani, taifa la Israeli likagawanyika sehemu mbili. Makabila kumi ya kaskazini waliitwa "Israel," na wao walidumu miaka 200 kabla ya hukumu ya Mungu kwa ajili ya ibada yao. Asiria ikatwaa Israeli kama watumwa karibu 721 BC. Makabila mawili katika kusini yaliitwa "Yuda," na wao walidumu muda mrefu kidogo, lakini hatimaye, pia, wakageuka kutoka kwa Mungu. Babeli aliwachukua mateka 600 BC
Miaka 70 baadaye, Mungu kwa neema aliwaleta mabaki ya wafungwa nyumbani kwa nchi yao wenyewe. Yerusalemu, mji mkuu, ulijengwa upya karibu 444 BC, na Israeli kwa mara nyingine tena ikawa na urahia wa taifa.
Kubomolewa kwa hekalu: Yesu alisema katika Mathayo 24:2, "...amin, amin nawaambieni, halitasalia hapa jiwe ambalo halitabomoshwa". Hii ni baada ya wanafunzi wake kumuonesha mawe ya hekalu na misingi yake ilivyo imara.Hekalu lilikuja kubomolewa miaka 70 AD.
![]()
Na sasa eneo hilo lilipokuwepo hekalu limejengwa msikiti wa alqsa. ,Lakini Kuna watu wanawadanganya wenzao kuwa SULEIMAN ndio alijenga huo msikiti ,Kitu ambacho sio kweli,
Hebu jiulize , ikiwa Muhamad kaja na uislamu miaka ya 600s AD , na kipindi hicho ndipo akaanza kujenga misikiti. , awali hapakuwa na Jengo linaloitwa msikiti,
Hili jambo hata mwenyewe muhamad, akijua ukweli huu, katika Quran 22:40 ameyatofautisha majengo haya KANISA, SINAGOGI, HEKALU NA MSIKITI.
MUNGU kupitia Nabii isaya miaka 2700 iliyopita alinena haya juu ya Taifa la wayahudi(ISRAELI)
ISAYA 14
"1 Maana Bwana atamhurumia Yakobo, atamchagua Israeli tena, naye atawaweka katika nchi yao wenyewe; na mgeni atajiunga nao, nao wataambatana na nyumba ya Yakobo.
2 Na hao mataifa watawatwaa na kuwaleta mpaka mahali pao wenyewe, na nyumba ya Israeli watawamiliki, na kuwafanya watumishi na wajakazi katika nchi ya Bwana; nao watawachukua hali ya kufungwa watu wale waliowafunga wao, nao watawamiliki watu wale waliowaonea"
KATIKA QURAN hakuna neno YERUSALEMU, biblia inayotumiwa na wayahudi na wakristo ,AGANO LA KALE/TANAKH imelitaja mara 5000+ neno yerusalemu, wakati Quran ikitafuta ushahidi wakuokoteza , ili kuhadaa watu kuhusu Uhalali wa umiliki wa YERUSALEMU.
Sikiliza we mfuasi wa paulo. Mungu kwenye Qur'an amekataa mafunzo ya paulo na wakristo kama wewe . Hakuna single follower of Jesus in his time believed he was God, this is fact, and these are his true believers, the ones who did not take him as God. All of those who did take him as God and believe paul was true then they were not true followers but false ones. Qur'an hai ukutambui wewe kama mfuasi wa Yesu. Wafuasi wa Yesu wanamini Yesu ni Mtume, na Mungu ni mmoja tu, kama wanavyo amini Waislam.wee kweli unachekeshakwa hiyo muhammad naye aliye waita Wakristo ni mpagani?? halafu jiulize jee hao Wakristo wapo?? muhammad kaja baada ya Paulo, sasa weka ushahidi alipo mtaja Paulo ndie mwanzilishi wa Ukristo
![]()
![]()
mkiambiwa hii deen ni ya warabu tu! nyinyi ni wapambe nuksi mnaoleta shobo duniani mnabishia
![]()
acha uzwazwa![]()
hivi muhammad hakujua maana ya uislamu hadi akaja na hii singo
View attachment 658097 heri ungesema ile sugar mom yake
ni muislamu wa kwanza hapo hakuna ubishi![]()
huna hata haya kuinua bakuli lako na kutamka Ibrahim, Adam, na Yakobo ni waisilamu wee
juhud![]()
![]()
![]()
acha uzwazwa![]()
hivi muhammad hakujua maana ya uislamu hadi akaja na hii singo
View attachment 658097 heri ungesema ile sugar mom yake
ni muislamu wa kwanza hapo hakuna ubishi![]()
huna hata haya kuinua bakuli lako na kutamka Ibrahim, Adam, na Yakobo ni waisilamu wee
juhud![]()
![]()
![]()
nenda jukwaa la lugha lma wikipedi ka-gonge ukipata maana uje ulete hoja yako hukuView attachment 657987
Haha sa bibilia zenu zinatambua Mitume wangapi? Na wote walikuja na vitabu?Na kwakuongezea tu kila nabii aliacha kitabu mfano Daudi,Suleiman,Isaya n.k. Sasa Ibrahim kitabu chake in kipi? Mimi ninachojua heshima aliyonayo Ibrahim in baba wa imani.
Daudi anakitabu kinaitwa kitabu cha nabii Daudi, nabii Mussa ana vitabu 4 mwanzo, kutoka,torati,nabii suleimain anakitabu kinaitwa Sulemani,wimbo ulio bora, Yesu kaleta injili.Haha sa bibilia zenu zinatambua Mitume wangapi? Na wote walikuja na vitabu?
Nani anaye sema Nabii wote wamekuja na vitabu? We ndio ulisema Ibrahim kama Nabii mbona hajakuja na kitabu sa nimekuliza wakristo mna manabii wangapi mbona si wote wamekuja na vitabu? Unakuja na gear yakusema nimeshindwa kujibu. We unavuta bangi nini. Rudi juu uone nane aliye uliza swali la vitabu mimi au wewe.Afu mkijibiwa mnarukia kwingine kama bibilia zenu.Daudi anakitabu kinaitwa kitabu cha nabii Daudi, nabii Mussa ana vitabu 4 mwanzo, kutoka,torati,nabii suleimain anakitabu kinaitwa Sulemani,wimbo ulio bora, Yesu kaleta injili.
Kwako sasa hebu nitajie vitabu vya hao manabii wenu 900 wewe nitajie manabii kumi tu na vitabu vyao vinaitwaje.
ANGALIZO:
Mara nyingi huwa mkishindwa kujibu swali huwa tunawaona taratibu mnaanza kukimbia kama mende kwenda kujificha kwenye swali jingine badala ya kutoa jibu la swali lililopo mezani hivyo nategemea wewe utakuwa tofauti nangojea majibu mkuu.
hayo mabano uliyo weka ni kauli ya nani??acha uzwazwa![]()
hivi muhammad hakujua maana ya uislamu hadi akaja na hii singo
View attachment 658097 heri ungesema ile sugar mom yake
ni muislamu wa kwanza hapo hakuna ubishi![]()
huna hata haya kuinua bakuli lako na kutamka Ibrahim, Adam, na Yakobo ni waisilamu wee
juhud![]()
![]()
![]()
kitu unaelewa wazi mabano ni maneno ya mwandishi?! rudi kilingeni tena ukapige ramli
hata huelewi hesabu ndogo hii kati ya Utatu na Tatu..."No partner has He. And this I have been commanded, and I am the first [among you] of the Muslims.
Hapo alikuwa anawaelezea Makuresh watu wake. Lazima ufahamu kila Nabii alikuwa ananza kuwapa habari watu wake, kama walivyo fanya walio mtangulia. Hata Mussa, Yesu na Ibrahim walikuwa wanawahutubia watu wao kwanza
Dogo tatizo lako unadandia dandia Qur'an si bibilia inakata kiuno uwe unasoma Sura toka mwanzo mpaa mwisho ndio utaifahamu. Tofauti kabisa na bibilia inakuwambia refer another chapter😀
sasa weka Ushahidi humu Toka Biblia Takatifu kwamba Wajristo wana miungu watatu

Hebu kwanza tuende kwa point. Yesu ni nani kwako? Na roho mtakatifu ni nani kwako? Na Baba wa Yesu kama mnavyo dai ni nani kwako? Lazima ufahamu hivi unaposema Mimi na mtoto ujuwe umeisha weka wazi unamrithi au uwongo😀hayo mabano uliyo weka ni kauli ya nani??View attachment 658214 kitu iko wazi
View attachment 658215 na waarabu wenye deen yao wameeleza baada ya kumuelewa muanzilishi wa deen
View attachment 658216 wee kafir majunun jihad yote hii mpaka mishipa ya shingo inakutoka na makohozi unapigania ninj![]()
![]()
![]()
![]()
kitu unaelewa wazi mabano ni maneno ya mwandishi?! rudi kilingeni tena ukapige ramli![]()
![]()
hata huelewi hesabu ndogo hii kati ya Utatu na Tatu...sasa weka Ushahidi humu Toka Biblia Takatifu kwamba Wajristo wana miungu watatu![]()
![]()
![]()
![]()
ona unavyo uliza kisilamu silamuHebu kwanza tuende kwa point. Yesu ni nani kwako? Na roho mtakatifu ni nani kwako? Na Baba wa Yesu kama mnavyo dai ni nani kwako? Lazima ufahamu hivi unaposema Mimi na mtoto ujuwe umeisha weka wazi unamrithi au uwongo😀
na mimi nakujibu kisilamu silamu
wewe humu tunakuita adiosa, nyumbani kwako mkeo anakuita bwana, wanao wanakuita baba...jee ni sio wewe ilaha watatu tofauti?? makafir nyinyi hamfundishiki mmegongwa Muhuri

Haha hebu wacha kukimbia swali langu wewe Mungu wako ni Yesu au baba yake Yesu? Chagua nani Mungu wako wacha kukwepa.ona unavyo uliza kisilamu silamu![]()
na mimi nakujibu kisilamu silamu
wewe humu tunakuita adiosa, nyumbani kwako mkeo anakuita bwana, wanao wanakuita baba...jee ni sio wewe ilaha watatu tofauti?? makafir nyinyi hamfundishiki mmegongwa Muhuri
![]()
![]()
Haha hebu wacha kukimbia swali langu wewe Mungu wako ni Yesu au baba yake Yesu? Chagua nani Mungu wako wacha kukwepa.
Haha hebu wacha kukimbia swali langu wewe Mungu wako ni Yesu au baba yake Yesu? Chagua nani Mungu wako wacha kukwepa.
ilimu yoote ninayo kupa bado una wazimu wa maswali
Kweli mnaakili za kijinga hio hio bibilia ya John inakanusha kuwa Mungu mwinginenkabisa na Yesu.unajitekenya kisha unacheka uji ngailimu yoote ninayo kupa bado una wazimu wa maswali
View attachment 658700 Yesu na Baba ni kitu Moja ...