Recent content by Khamiskh

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tulionyimwa mafao NSSF, tufungue kesi mahakamani

    Nijuavyo mimi mfanyakazi akihama Kutoka alipokuwa anafanya kazi akahamia sehemu nyingine aidha ni kampuni binafsi au Serikalini hawezi kupata mafao kwa kuwa ataendelea kuchangiwa michango yake kwa hiyo mtu wangu ndio hivyo hata ukienda uliza utasikia majibu yao
  2. K

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF wanakwaza wakati wa madai

    Ebwana pole sana lakini kwa sasa wameboresha huduma ukishafungua madai yako online jambo linasogea fasta
  3. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Michango wangu wa NSSF mwezi wa 12 Mwaka 2022 & 2024 imetolewa japokuwa ililipwa

    Ebwana pole sana mwenyewe ilinitokea lakini ilikuja kurudi naamini na kwako ilirejea
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mwajiri amegoma au kushindwa kukuingizia hela yako ya NSSF na tayari mkataba wako umeshaisha na mmeagana kwa amani nini hasa unabidi kufanya?

    Kuna jamaa yangu amesaidiwa juzi kupitia ukurasa wa instagram wa NSSF @nssftz mwambie atume huko taarifa zake muhimu kama namba ya uanachama na majina yake kamili pamoja na mahali alikuwa anafanyia kazi atapata msaada wa haraka
  5. K

    JamiiForums Tanzania Malipo ya Serikali, kuna nini?

    Ebwana kwani ulikuwa unalipia kitu gani NSSF
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu namna ya kupata pesa ya NSSF baada ya kazi kuisha

    Mimi pia najua unafungulia popote ila uhakikishe kila kitu kipo sawa
  7. K

    JamiiForums Tanzania NSSF fao baada ya ajira kuisha

    Jamaa wanasema kwa mujibu wa sheria inasema mafao ya kupoteza ajira yanatolewa kwa mwanachama aliyeachishwa kwa sababu yoyote isipokuwa kuacha yeye mwenyewe, jitazame kama upo kundi gani
  8. K

    JamiiForums Tanzania NSSF fao baada ya ajira kuisha

    Mzee ungeuliza kwanza kabla ya kufanya maamuzi, juzi kati nilikuwa nasoma soma taarifa ya hii mifuko miwili hasa huu wa NSSF nikaona kuwa kuna Pensheni iliyohairishwa yaani endapo mwanachama atakuwa ametimiza Credit 180 hata kama atakuwa na umri wa miaka 40 kwa mfano anaweza kuomba pensheni hiyo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu namna ya kupata pesa ya NSSF baada ya kazi kuisha

    Ebwana kwa uelewa wangu Mwanachama atapata mafao yake endapo ataachishwa kazi kwa sababu yoyote ile isipo kuwa kuacha kazi yeye mwenyewe hapo atakuwa hana sifa ya kupata mafao, pili mwanachama atapata mafao yake endapo atafikisha umri wa kustaafu kwa hiari miaka 55-59 kwa hiari na miaka 60 kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini NSSF hawataki kunipa hela zangu?

    Ebwana pole sana ila naungana na mdau aliyeseama kama umeshawahi soma hata vigezo na masharti, kwa uelewa wangu na itawasaidia watu wengi kama wewe, ipo hivi nijuavyo mimi kwanza kabisa ikiwa mfanyakazi ameacha kazi kwa hiari yake yeye mwenyewe anakuwa hana sifa za kupata mafao yake hii ipo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada NSSF - nahitaji kupata hela zangu

    Ushauri wa Bure kama unauhakika unacho kiandika haudanganyi nakushauri ukaandike barua ya kukata shauri na uwe na vithibitisho kweli wewe sio mtaalam, lakini kama hauna uhakika wa hilo unataka mseleleko basi usifanye hivyo jamaa wapo smart sana wale mifumo yao inasomana. So akili kichwani mtu wangu
  12. K

    JamiiForums Tanzania NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Hawa watu pamoja na mambo mengine hebu tuwafuatilie kuna vipindi vyao nimeshaona kipindi cha mafao ...faida wanapata
  13. K

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kigamboni lakusanya bilioni 83 tangu kufunguliwa 2016. Makusanyo yafikia 1.3B kwa mwezi

    Hili daraja limetusaidia sana sisi wa Kigamboni zaman hadi feri jamani
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

    Wee jamaa vipi post ya zamani unaleta leo?? Njoo na mada mpya tujadili
Back
Top Bottom