Kwanini NSSF hawataki kunipa hela zangu?

zelemelohiym

Senior Member
Nov 28, 2023
111
132
Naandika kwa uchungu kwasababu kujiunga ni lazima kwenye kuchukua kimbembe!

Nilikua nataka niende kusoma lakini cha ajabu hawa watu hawataki kutoa hela wananiambia sijui kidogo kidogo hivi unaweza jisomesha kwa hela kidogo kidogo mbona Suala la Elimu halipewi kipaumbele?

Yaani navozungushwa hadi Master yangu naikatia tamaa!

Nifanyeje hamna namna ya kuwashtaki mahakamani?
 
Naandika kwa uchungu ,,
Kwasababu kujiunga n lazima kwene kuchukua kimbembe!!
Nilikua nataka niende kusoma lakini cha ajabu hawa watu hawatak kutoa hela wananiambia sijui kidogo kidogo ivi unaweza jisomesha kwa hela kidogo kidogo mbona Suala la Elimu halipewi kipau mbele???

Yaaan navozungushwa hadi Master yangu naikatia tamaa!

Nifanyeje hamna namna ya kuwashtaki mahakamani??
Pesa zenu wamepeleka kwenye miradi ya kifisadi na ujenzi wa madaraja.

Hawana pesa.
 
Naandika kwa uchungu kwasababu kujiunga ni lazima kwenye kuchukua kimbembe!

Nilikua nataka niende kusoma lakini cha ajabu hawa watu hawataki kutoa hela wananiambia sijui kidogo kidogo hivi unaweza jisomesha kwa hela kidogo kidogo mbona Suala la Elimu halipewi kipaumbele?

Yaani navozungushwa hadi Master yangu naikatia tamaa!

Nifanyeje hamna namna ya kuwashtaki mahakamani?
yaani unataka uache kazi mazima? ama utarudi kazini, fafanua.

unaombea hiyo pesa tawi gani? kwa maana mkoa gani au wilaya gani?

tunaweza kusaidiana ukapata mshiko wako.
 
Naandika kwa uchungu kwasababu kujiunga ni lazima kwenye kuchukua kimbembe!

Nilikua nataka niende kusoma lakini cha ajabu hawa watu hawataki kutoa hela wananiambia sijui kidogo kidogo hivi unaweza jisomesha kwa hela kidogo kidogo mbona Suala la Elimu halipewi kipaumbele?

Yaani navozungushwa hadi Master yangu naikatia tamaa!

Nifanyeje hamna namna ya kuwashtaki mahakamani?
Ebwana pole sana ila naungana na mdau aliyeseama kama umeshawahi soma hata vigezo na masharti, kwa uelewa wangu na itawasaidia watu wengi kama wewe, ipo hivi nijuavyo mimi kwanza kabisa ikiwa mfanyakazi ameacha kazi kwa hiari yake yeye mwenyewe anakuwa hana sifa za kupata mafao yake hii ipo wazi. Kuhusiana na wewe sasa ambaye unataka kwenda kusoma halafu haujapata mafao yako, ninavyo fahamu ni kuwa kwenda kusoma sio emergency hivyo unakuwa hauna sifa ya kupata mafao yote, na we mzee una degree hivyo endapo umeachishwa kazi basi utalipwa 33.3% ya mshahara wako kwa Miezi sita, halafu nasikia kama utakaa miezi 18% haujapata kazi basi kwa hiari yako utaandika Barua kwa mkurugenzi mkuu wa hiyo NSSF kuomba kuhamisha michango yako kwenda uchangiaji wa hiari ili uendelee kujiwekea akiba, hapo vipi mwanangu takuwa nimewafungua vichwa.
 
Wafanyakazi kujiunga NSSF sio suala la hiayari, ni lazima. Kusoma hizo terms hakuna maana yoyote, labda kama hutakiwi kuajiriwa.
Mkuu kila ajira ina terms zake (mkataba) na moja wapo ni kuwa utakatwa kiasi kadhaa kwaajili ya social security.

Sasa kule kwenye social security ambae ni third party nae ana masharti yake ambayo kama ukiona hukubaliani nayo unaweza kukataa huo mkataba wa ajira ukafanya mambo mengine.
 
Mkuu kila ajira ina terms zake (mkataba) na moja wapo ni kuwa utakatwa kiasi kadhaa kwaajili ya social security.

Sasa kule kwenye social security ambae ni third party nae ana masharti yake ambayo kama ukiona hukubaliano nayo unaweza kukataa huo mkataba wa ajira ukafanya mambo mengine.

we unaweza kataa ajira kisa nssf?? do we have a choice??
 
Hatari sana,pesa yako ila kuichukua ni mbinde,cha kushangaza mbuge aliyeitumikia serikali kwa 5 years yeye anapewa mamilion yake bila shida,ni mungu tu atatunusuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom