Naomba kufahamu namna ya kupata pesa ya NSSF baada ya kazi kuisha

Wakuu..Mimi Sina mengi na Sio mtaalamu wa Sheria naomba kujua hizi pesa za michango yetu tunavokatwa na muajiri tunazipataje pataje?

Ahsanteni sana wakuu

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Nenda kwenye zone yako ya Nsfw chukiwa fomu maelezo mengine utayapata hapo.

Ila natanguliza kukupa pole Kwa nenda rudi utakazokumbana nazo ukiwa na roho ndogo unaweza kutandika mtu ngumi.

Unaambiwa njoo tarehe fulani Saa uko pale, unasota siku mzima saa 9 unaitwa jina unaambiwa Rudi tarehe fulani, Yani mpaka useme.

Yani Nssf ni Bora ingekuwa mtu akisubmit form wampe hata miezi 6 asubiri akiitwa ni kuchukuwa check tu na siyo huu upumbavu wanaofanyia watu.
 
wamejirekebisha...kikubwa atimize vigezo vyao tu...na kikubwa zaidi siku hizi ni wiki 1 tu ya kusubiri pesa ikizidi sana siku 9 baada ya kukusanya document zinazo hitajika mkwanja unaingia...!

NSS unayo zungumza wewe ni ile ya zamani...mimi na wenzangu tulifukuzwa kazi watu kama 300...na wote ndani ya wiki 2 tulipata mafao yetu...!

usumbufu wa kwenda na kurudi utaupata endapo ulifoji majina baadae wakigundua lazima utapata usumbufu...!

ulifoji tarehe au mwaka wa kuzaliwa utasumbuliwa...!

ila kama kila kitu chako kilinyooka huto pata usumbufu wowote...!

utakaa foleni 2 kwa siku tofauti tofauti.

foleni ya kwanza kwaajili ya kukusanya document ambazo watazikagua. baada ya hapo utaambiea urudi siku nyingine kwaajili ya Fingerprints. hatua hii ya Fingerprints ndio ya mwisho kisha atasubiri ndani ya wiki 1 au 2 pesa yake inaingia...!

Moja ya notable memory dogo mmoja aliwai kuibua swali Kwa wale watu wa hii mifuko walipo kuja kutoa darasa Kwa wanachama wapya akasema nanukuu
""Mimi NSSF YANGU NI ACCOUNT YANGU YA M_PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY 🤑💰""

Dogo akaanza kutoa hoja kinzani Kama ulivyo eleza na hao staff wa NSSF wakajibu vepour😁🤣🤣😂😂😂
 
Mkataba umeisha na pia nimefukuzwa kazi

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
nenda nssf tawi ambalo mwajili wako anapeleka michango...ukifika hapo watakupa fomu...ili wakupe fomu ni lazima uwaonyeshe barua yako ya kufutwa kazi..!

baada ya hapo watakupa fomu ambayo itajazwa na muajiri wako...na maelezo mengine watakwambia hapo NSSF
 
wamejirekebisha...kikubwa atimize vigezo vyao tu...na kikubwa zaidi siku hizi ni wiki 1 tu ya kusubiri pesa ikizidi sana siku 9 baada ya kukusanya document zinazo hitajika mkwanja unaingia...!

NSS unayo zungumza wewe ni ile ya zamani...mimi na wenzangu tulifukuzwa kazi watu kama 300...na wote ndani ya wiki 2 tulipata mafao yetu...!

usumbufu wa kwenda na kurudi utaupata endapo ulifoji majina baadae wakigundua lazima utapata usumbufu...!

ulifoji tarehe au mwaka wa kuzaliwa utasumbuliwa...!

ila kama kila kitu chako kilinyooka huto pata usumbufu wowote...!

utakaa foleni 2 kwa siku tofauti tofauti.

foleni ya kwanza kwaajili ya kukusanya document ambazo watazikagua. baada ya hapo utaambiea urudi siku nyingine kwaajili ya Fingerprints. hatua hii ya Fingerprints ndio ya mwisho kisha atasubiri ndani ya wiki 1 au 2 pesa yake inaingia...!

Kumbe siku hizi wanatoa hela?

Maana si walianzisha kwamba kupewa hela mpaka miaka 55 au 60.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu,

Mimi Sina mengi na Sio mtaalamu wa Sheria naomba kujua hizi pesa za michango yetu tunavokatwa na muajiri tunazipataje pataje?

Ahsanteni sana wakuu

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Ebwana kwa uelewa wangu Mwanachama atapata mafao yake endapo ataachishwa kazi kwa sababu yoyote ile isipo kuwa kuacha kazi yeye mwenyewe hapo atakuwa hana sifa ya kupata mafao, pili mwanachama atapata mafao yake endapo atafikisha umri wa kustaafu kwa hiari miaka 55-59 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima. Na ili uweze kupata mafao yako unatakiwa kuwa na kitambulisho chako cha uanachama, barua ya kuachichwa kazi, kitambulisho cha NIDA, uthibitisho kutoka Mahakamani, Akaunti ya benki ambayo ipo inafanya kazi pamoja na mambo mengine utaambiwa hapo.
 
Je, ni lazima kufuatilia madai yako tawi lile lile uliloandikishiwa uanachama?
Mfano nilikuwa Tabora sasa nipo Dar nahitaji kufuatilia madai yangu, nina mkataba wa kazi na barua ya kuachishwa kazi!
 
Nssf popote pale.....! Nenda utahudumiwa
 
wamejirekebisha...kikubwa atimize vigezo vyao tu...na kikubwa zaidi siku hizi ni wiki 1 tu ya kusubiri pesa ikizidi sana siku 9 baada ya kukusanya document zinazo hitajika mkwanja unaingia...!

NSS unayo zungumza wewe ni ile ya zamani...mimi na wenzangu tulifukuzwa kazi watu kama 300...na wote ndani ya wiki 2 tulipata mafao yetu...!

usumbufu wa kwenda na kurudi utaupata endapo ulifoji majina baadae wakigundua lazima utapata usumbufu...!

ulifoji tarehe au mwaka wa kuzaliwa utasumbuliwa...!

ila kama kila kitu chako kilinyooka huto pata usumbufu wowote...!

utakaa foleni 2 kwa siku tofauti tofauti.

foleni ya kwanza kwaajili ya kukusanya document ambazo watazikagua. baada ya hapo utaambiea urudi siku nyingine kwaajili ya Fingerprints. hatua hii ya Fingerprints ndio ya mwisho kisha atasubiri ndani ya wiki 1 au 2 pesa yake inaingia...!

Kama kazi aliyokuwa anafanya siyo ya KITAALUMA.

Pesa yake atapata.

Kama ilikuwa ya kitaaluma, ategemee kupata 33% ya Mshahara aliyokuwa anapata lwa miezi 6 tu
 
Je, ni lazima kufuatilia madai yako tawi lile lile uliloandikishiwa uanachama?
Mfano nilikuwa Tabora sasa nipo Dar nahitaji kufuatilia madai yangu, nina mkataba wa kazi na barua ya kuachishwa kazi!
Mimi pia najua unafungulia popote ila uhakikishe kila kitu kipo sawa
 
Back
Top Bottom