Recent content by Khamisiya

  1. K

    Marekani yasema hawajabadili maamuzi yao suala la uchaguzi Zanzibar

    Hapa Zanzibar Shein hakuchaguliwa na wananchi ila amewekwa kulinda utashi wa kisiasa wa Tanganyika. Wananchi wamemchagua Seif Sharif kwa sababu ya sera zake naimani yake kwa wananchi na Zanzibar. Msiwatukane wazungu , wala sisi hatupendi fujo ila ikiwa tutataka kulianzisha basi hapo bongo kila...
  2. K

    Prof. Shivji anena mazito sakata la mchanga wa madini

    Waambieni hizo mahkama zao zimalizie huko huko London. Fukuza wao kwani mbona mnapenda saana kujikwekweneza kwa wazungu ? hao hawana kheri ila upendo wao ni kukunyonya tu baadae waje wakuletee visenti kidogo vya kufanyia uchaguzi.
  3. K

    Jeshi la polisi wamlilia Ernest Mangu

    Si huyu kuna wakati alidhamiria kumsweka Maalim Seif ndani mara tu akitua kutoka majuu, na huyu sharif wa Zanzibar akamwambia nitatua huko Bongo na husubutu kunishika ,Mangu akaufyata. Si alitaka kutumika kisiasa.
  4. K

    ACACIA ni wezi, tukiungana hawana uwezo

    Miafrika inatawaliwa kwa kuwaogopa na kuwaheshimu sana wazungu, hii midude ni mijizi , funga baadhi ya migodi ,irudishe kwa wananchi. Che Nkapa aliwaona kama malaika akawapa migodi yote iliyonona na yeye akapewa zawadi ya pande la dhahabu lenye uzito wa mfuko wa cement kama zawadi. Mrema uko...
  5. K

    Mheshimiwa rais, umechuma janga. Gwajima sio DUDE ila George H.W. Bush ni DUDE

    Mkuu ati wanakutishia nyau, Bush si mwizi tu , kawaibia Wairaqi dhahabu na mafuta yao na kubaka watoto wao. Wakileta gozi gozi mkaribishe Rais wa Iran aje atembelee Tanzania , pamoja na mbabe wao Kim wa S.Korea . Akina Bush na genge lake wataona jamaa hawa wamekuja kupewa Uranium, wala...
  6. K

    Tetesi: Mkapa Anahusika na Sakata la Mchanga

    Tumbua Shein hatukumchagua sio kumtimua Mulongo tu
  7. K

    Nipo tayari kukosolewa: Rais Magufuli kama kawaida ameongozwa tena kwa chuki, hasira na pupa!

    Kamata yeye Nkapa na Kikwete hawa wanajuwa yote wanakunyari tu
  8. K

    Eti mimi sio mwanasiasa!

    Zuiya kila kitu na upinzani utasonga mbele kwa njaa na dhiki iliopo
  9. K

    Mandela alipewa sifa aliyostahili Nyerere! So sad!

    Niliwahi kusoma short course chuo alichosomea Mandela cha Grahamtown. Wazungu wapale walikuwa wanamsifia Mandela kwa jambo moja kubwa tena kiunafiki nafiki hasa pale wanapokuwa na waafrika weusi, kwamba ni shujaa wa kuleta umoja kwa mantiki ya kwamba amewaridhia wazungu na kuwafanya na kuwaona...
  10. K

    Kwanini upinzani wetu haukui kama wa nchi nyingine?

    Labda tupigane kwanza kama vile ccm wanavyotaka.
  11. K

    IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    usiwe mshamba jinchi lote hili kutokuwa na ndege ni aibu, wasioweza kupanda ndege si wanayo miguu waliopewa na Muumba wao.
  12. K

    Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

    Kwani kuna tabu gani ukiteremka boti tu siku ya mwezi mosi Ramadhani kunywa soda hadharani na nakuhakikishia utasalia gereza la Hanyegwa mchana huko kwendea Chwaka mpaka mwezi mosi Ramadhani ya mwakani itakutosha kukata kilimilimi chako. Mwezi wa Ramadhani unaheshimiwa na nchi zote na kufunga...
  13. K

    Achilia mbali ruzuku na michango, CCM ina vyanzo gani vya mapato?

    Labda usishangae wanapata gawio la nyeti kutoka serikalini wao ndio chama wao ndio serikali. Kwani cabineti ya wizara ya fedha ina wapinzani, kule bandarini kwani kuna ukawa.
  14. K

    Habari Njema Zenji: Juhudi za Mhe. Balozi Amina S. Ali zazaa matunda, TradeMark yamwaga madola!

    Nadhani useme tu kwamba Zanzibar kumefanywa lipi lakini usitaje kabisa kama hakuna mgogoro. Upo mgogoro baina ya genge linalotawala kwa kunyakuwa madaraka ambayo hawakuchaguliwa na wananchi. Nikurudishe nyuma utawala haramu umekuwepo Zanzibar tokea 1600 wakati wa wareno , 1832 mpaka 1856 wakati...
  15. K

    Chemistry ya Sakaya na Lipumba chanzo chake hiki hapa

    Mbona Seif ni shupavu toka enzi za ukoloni, hakimuogopa mtu la ukweli akilisema na msimamizi wa haki. Hata alipokuwa Chuoni UDSM, na alipokuwa waziri wa elimu watu wengi walipata nafasi za kusoma nchi za nje, alipokuwa waziri kiongozi mwaka 1984 ndie muanzishaji wa sera hii ya biashara huru...
Back
Top Bottom