Eti mimi sio mwanasiasa!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,673
149,860
Kila unachofanya wewe unataka kiwe live na wakati huo huo unabana wenzako ili wewe peke yako ndio uonekana kwa wananchi!

Wenzako kuwa live ni gharama na wanasababisha watu wasifanye kazi ila isipokuwa wewe tu!

Ukipata nafasi ya kuongea live unaponda na kuwapiga vijembe wapinzani wako na hutaki wakujibu na wakikujibu wengine wanaishia kukamatwa!

Unasema hivi halafu unatenda kinyume chake halafu unatuambia wewe ni msema ukweli!

Sasa najiuliza kwa tabio hizo wewe kweli si mwanasiasa tena uliokosa uvumilivu?

Kiboko yenu Gwajima mwenye viewers na wasikiliza kibao ndani na nje kanisani lake na anafuatiliwa na watu wengi kuliko wewe wakiwemo hata wale wasio wakiristo.

This Sunday he is going to put you in the shade.
 
Kila unachofanya wewe unataka kiwe live na wakati huo huo unabana wenzako ili wewe peke yako ndio uonekana kwa wananchi!

Wenzako kuwa live ni gharama na wanasababisha watu wasifanye kazi ila isipokuwa wewe tu!

Ukipata nafasi ya kuongea live unaponda na kuwapiga vijembe wapinzani wako na hutaki wakujibu na wakikujibu wengine wanaishia kukamatwa!

Unasema hivi halafu unatenda kinyume chake halafu unatuambia wewe ni msema ukweli!

Sasa najiuliza kwa tabio hizo wewe kweli si mwanasiasa tena uliokosa uvumilivu?
ni kweli salary slip unayasema haya, nyie na akina simiyu yetu, lizaboni, jingalao ndio mlikuwa namba 1 kumsifia, imekuwaje tena, duu
 
Kila unachofanya wewe unataka kiwe live na wakati huo huo unabana wenzako ili wewe peke yako ndio uonekana kwa wananchi!

Wenzako kuwa live ni gharama na wanasababisha watu wasifanye kazi ila isipokuwa wewe tu!

Ukipata nafasi ya kuongea live unaponda na kuwapiga vijembe wapinzani wako na hutaki wakujibu na wakikujibu wengine wanaishia kukamatwa!

Unasema hivi halafu unatenda kinyume chake halafu unatuambia wewe ni msema ukweli!

Sasa najiuliza kwa tabio hizo wewe kweli si mwanasiasa tena uliokosa uvumilivu?

mkuu hapo kwenye bold ni uongo anafanya kazi gani sasa zaidi ya kumangamanga kwenye matv kusaka kiky hopeless kabisa
 
Back
Top Bottom