Hata raia wa Central Africa Republic waliambiwa hivyo hivyo kuhusu majeshi yakulinda amani ya Umoja wa Mataifa, ulizia kilichotekea? Mamia ya watoto kubakwa na wengine kulawatiwa huku UN ikijitutumua kuchukua hatua za kisiasa. Ulizia kilichotokea ZNZ 2001, raia waliambiwa hivyo hivyo kuhusu hao...
Kinacho nisikitisha ni pale nnapomwona mtu ambae kwa kile anachokiandika inaashiria kama ni msomi lakini jinsi alivyokiandika unaona hamna kitu kabisa isipokuwa kujishushia hadhi yeye mwenyewe binafsi na taasisi iliomfunza hicho alichokisoma. Hivi kuna kipi kilichokuzuia kuandika ulichoandika...
Kwani Anaeongelewa Ni Mbowe Au Magufuli Apa? Sisi Atuna Stories Na Mbowe Au Lowassa, Sisi Ni Magufuli Awe Tu Huru Kutumia Kiswahili (Japo Nacho Akijui Vizuri) Kuliko Kujifanya Kuongea Kiingereza Wakati Ayuko Sawa Kabisa. Aibu Yake Ni Aibu Kwa Taifa Zima.
Badala Ya Kutukana Nadhani Ungemsahihisha Kama Atakuwa Amekosea. Kwa Nini Mnapenda Kuwekeza Kwenye Matusi Badala Ya Hoja. Mwenzako Amewasilisha Mada, Jenga Hoja Kuunga Mkono Au Kupinga. Nakubaliana Na Wote Wanaosema Kwamba English Haijalishi, Wasi wasi Unakuja Kwa Nini Sasa Aitumie Na Alishajua...
Kwa mahitaji yako yote ya vifaa vya simu, electronics na vya nyumbani, piga......071687450? Quick delivery up to your home............c tunaambiwa tujiajr jamani? huo n wimbo kil siku........:shocked:
Apana bhanaaa, vyuo vyetu vingi Tz vinajulikana kaka, vnaitwa vyuo vikuu lakini wala havina hyo sifa ( a case of St. Joseph, Arusha Campus). Unujuwa TCU nao n wale wale, awawez kukup ukwel kuhus chuo fulani, kun habar ambaz kuwa c rasmi na si nzuri kwa taasis fulani ambaz huwez kuzpat formally...
Apa kwetu apana wa kuwek sign mtu kunyongwa, hv juz kati nliskia watu waliomagerezani n kuhukumiw adhabu ya kifo, wamepeleka malalamiiko yao kw Mkuu wa Kaya juu ya kucheleweshewa ahabu yao, kuna wengi huu n mwaka wa 30 wanasubria kunyongwa.:embarrassed1:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.