Picha: Jihadharini na huyu tapeli

Picha: Jihadharini na huyu tapeli

huyu jamaa nimemfollow huko insta ila nilijua ni mtu decent tu kwa jinsi ninavyoona anajitutumua kutangaza bidhaa zake mbalimbali,anyway nashukuru Mungu nimejifunza kitu hapa.
 
Online nyingi nchi za wenzetu ni cash on delivery unampaje mtu hela kwa bidhaa ya kuona insta india flipkart,snapdeal ,myintra wote wanafanya biashara kwa cash on delivery unaridhika unawapa chao sijui sisi tunafikiria nn kumpa mtu hela kwanza

sure wabongo ni wepes kutapeliwa why?hunijui sikujui naanzaje kukutumia pesa?nipe bidhaa nakupa pesa tunamalizana
 
Waswahili hatujafika huko kwenye online business, shida kubwa ni tabia zetu za uswahili uswahili, we are not trustful kabisa. Sheria za kutulinda kwenye biashara hzo nazo bado ni mazingaobwe.
 
OGOPA TAPELI[QUOTE:warumi;12243346]View attachment 237359

Wabongo siku hizi wanapenda vya mteremko, yani kila kitu mnataka mletewe hadi nyumbani, hadi nguo za ndani mnataka mletewe? Mtu unashindwa kwenda Kariakoo au Posta kununua vitu vyako? Ndo maana mnatapeliwa.

Hili suala la online bussiness siku izi naona linakuwa kwa kasi, kila mtu siku izi uko instgram anamiliki online bussness, mwisho wake watu wanatapeliwa. Ivi unaanzaje kumtumia mtu pesa kwenye simu ambaye humjui mmekutana instagram eti akuletee simu la laki 7? Apo hujui kama huyo mtu tapeli au hyo simu atakayokuletea ni original au inayokidhi mahitaji yako?

Huyo jamaa pichani kafungua account uko instagram anajiita DUKA KUBWA ila jina lake halisi ni EMMANUEL SHAYO, jamani wachaga mjini pashakuwa pagumu mpaka mnaanza kutapeli? Nasikia kashawatapeli watu wengi sana, anajifanya anamiliki kampuni yenye kila aina ya bidhaa, yeye anajifanya anafanya delivery mpaka nyumbani kwako, anaweka picha ya bidhaa mbali mbali instagram ukipenda unamwambia then unamtumia hela tigo pesa ndani ya masaa kadhaa anadai itakuwa mlangoni kwako, cha kushangaza ukishatuma pesa tu atakuzngusha mara bidhaa hazijafika, mara wapo kwenye foleni yani sababu haziishi kumbe apo ndo umeshatapeliwa.

Kuna dada alini inbox toka mwaka jana mwezi wa kumi na moja, alikuwa analalamika katapeliwa na huyo jamaa, yeye anaishi Arusha anasoma chuo uko, alidai aliona huyo jamaa ana post vitu vingi insta akamwamini kwa kuwa alikuwa anaandika sana mambo ya dini kwenye page yake, basi akaagiza simu kwa hyo jamaa ya laki tatu, kweli baada ya siku moja simu ikatumwa kwa njia ya gari mpaka arusha mwenyewe akaipata vzur, kwenda kuangalia akakuta simu tofauti na aliyoagiza, akakuta li simu la kichina na ambayo haiendani na bei, ikabidi ampigie jamaa kumuuliza, jamaa akamwambia basi arudishe wambadilishie, kweli akarudisha simu, kwani alibadilishwa? Mpaka kesho ndo kashatapeliwa.

Mwingine nasikia alimtapeli ubuyu, huyo dada anakaa zanzibar, huyo jamaa alikuwa anachukua ubuyu kwa huyo dada then anauza kama wakala, alimpa ubuyu wa laki mbili,toka mwezi wa kwanza mpaka kesho pesa yake ya ubuyu huyo dada hajapewa, kijana mwingine alitapeliwa million 4.

Hapo awali nilimwambia aende uko uko instgram kwenye account ya mrekebisha tabia atawasaidia, kweli alienda kumwambia, alichokisikia kutoka kwa huyo mrekebisha tabia kuwa huyo jamaa kashawatapeli wengi sana, watu zaidi ya watano washamlalamikia kuhusu huyo jamaa na tabia yake ya utapeli, basi ikabidi waungane wote watano wakapeana namba ili wajue jinsi ya kudai haki yao, nasikia mpaka polisi huyo jamaa wanamjua na ana kesi nyingi sana, so jamani jihadharini na huyo mtu ni hatari sana. Kashatapeli hadi mamilion ya shilingi kwa watu akijidai anauza magari kumbe hana ata baiskeli.

Kampuni yake nasikia iko mikocheni b karibia na saverio, na kwenye hyo ofisi yake hakuna ata bidhaa moja, uko insta anadanganya watu ana vitu kibao kumbe mpaka aende kununua vitu vya kichina kariakoo.
[/QUOTE]
 
Amepost Sasa Hivi Anauza Rav 4 kwa 12.5m,Kazi kwenu.
Gari Duka Kubwa.jpg
 
Kwa mahitaji yako yote ya vifaa vya simu, electronics na vya nyumbani, piga......071687450? Quick delivery up to your home............c tunaambiwa tujiajr jamani? huo n wimbo kil siku........:shocked:
 
mi simjui huyo jamaa but mtoa mada hujaandika kama thinker au mweledi, huna vivid evidence,kote umeandika nasikia nasikia,isije kuwa wote ni wafanyabiashara mnaharibiana, au una beef naye tuu, but pia kusema eti siku hizi watu wavivu kila kitu online,nimeona bado una think inside the box,hujatoka nje ya nji bado,pia ujue jf inasoma na watu wengi mno hasa wa TZ walio nje ya nchi maana ndo site rahisi kujua nchi inaendaje,pia acha ukabila,kwanini u comment kuwa eti wachaga?, inamaana ni wezi walikuibia,.Acha ukabila,wivu, by the way i repeat siwajui wote but i undermine your post maana huna suppirting document za kutosha, acha kumwaribia mwenzako,online shopping outside world ndo habari ya mjini,then every bussiness ina changamoto zake,in your post sijaona mahali unasema umeibiwa
tuache wivu na kurudishana nyuma
 
mtatapeliwa sana maana mmezidi mno umbumbumbu.
 
View attachment 237359

Wabongo siku hizi wanapenda vya mteremko, yani kila kitu mnataka mletewe hadi nyumbani, hadi nguo za ndani mnataka mletewe? Mtu unashindwa kwenda Kariakoo au Posta kununua vitu vyako? Ndo maana mnatapeliwa.

Hili suala la online bussiness siku izi naona linakuwa kwa kasi, kila mtu siku izi uko instgram anamiliki online bussness, mwisho wake watu wanatapeliwa. Ivi unaanzaje kumtumia mtu pesa kwenye simu ambaye humjui mmekutana instagram eti akuletee simu la laki 7? Apo hujui kama huyo mtu tapeli au hyo simu atakayokuletea ni original au inayokidhi mahitaji yako?

Huyo jamaa pichani kafungua account uko instagram anajiita DUKA KUBWA ila jina lake halisi ni EMMANUEL SHAYO, jamani wachaga mjini pashakuwa pagumu mpaka mnaanza kutapeli? Nasikia kashawatapeli watu wengi sana, anajifanya anamiliki kampuni yenye kila aina ya bidhaa, yeye anajifanya anafanya delivery mpaka nyumbani kwako, anaweka picha ya bidhaa mbali mbali instagram ukipenda unamwambia then unamtumia hela tigo pesa ndani ya masaa kadhaa anadai itakuwa mlangoni kwako, cha kushangaza ukishatuma pesa tu atakuzngusha mara bidhaa hazijafika, mara wapo kwenye foleni yani sababu haziishi kumbe apo ndo umeshatapeliwa.

duh wachaga sio wote matapeli
 
View attachment 237359

Wabongo siku hizi wanapenda vya mteremko, yani kila kitu mnataka mletewe hadi nyumbani, hadi nguo za ndani mnataka mletewe? Mtu unashindwa kwenda Kariakoo au Posta kununua vitu vyako? Ndo maana mnatapeliwa.

Hili suala la online bussiness siku izi naona linakuwa kwa kasi, kila mtu siku izi uko instgram anamiliki online bussness, mwisho wake watu wanatapeliwa. Ivi unaanzaje kumtumia mtu pesa kwenye simu ambaye humjui mmekutana instagram eti akuletee simu la laki 7? Apo hujui kama huyo mtu tapeli au hyo simu atakayokuletea ni original au inayokidhi mahitaji yako?

Huyo jamaa pichani kafungua account uko instagram anajiita DUKA KUBWA ila jina lake halisi ni EMMANUEL SHAYO, jamani wachaga mjini pashakuwa pagumu mpaka mnaanza kutapeli? Nasikia kashawatapeli watu wengi sana, anajifanya anamiliki kampuni yenye kila aina ya bidhaa, yeye anajifanya anafanya delivery mpaka nyumbani kwako, anaweka picha ya bidhaa mbali mbali instagram ukipenda unamwambia then unamtumia hela tigo pesa ndani ya masaa kadhaa anadai itakuwa mlangoni kwako, cha kushangaza ukishatuma pesa tu atakuzngusha mara bidhaa hazijafika, mara wapo kwenye foleni yani sababu haziishi kumbe apo ndo umeshatapeliwa.

Kuna dada alini inbox toka mwaka jana mwezi wa kumi na moja, alikuwa analalamika katapeliwa na huyo jamaa, yeye anaishi Arusha anasoma chuo uko, alidai aliona huyo jamaa ana post vitu vingi insta akamwamini kwa kuwa alikuwa anaandika sana mambo ya dini kwenye page yake, basi akaagiza simu kwa hyo jamaa ya laki tatu, kweli baada ya siku moja simu ikatumwa kwa njia ya gari mpaka arusha mwenyewe akaipata vzur, kwenda kuangalia akakuta simu tofauti na aliyoagiza, akakuta li simu la kichina na ambayo haiendani na bei, ikabidi ampigie jamaa kumuuliza, jamaa akamwambia basi arudishe wambadilishie, kweli akarudisha simu, kwani alibadilishwa? Mpaka kesho ndo kashatapeliwa.

Mwingine nasikia alimtapeli ubuyu, huyo dada anakaa zanzibar, huyo jamaa alikuwa anachukua ubuyu kwa huyo dada then anauza kama wakala, alimpa ubuyu wa laki mbili,toka mwezi wa kwanza mpaka kesho pesa yake ya ubuyu huyo dada hajapewa, kijana mwingine alitapeliwa million 4.

Hapo awali nilimwambia aende uko uko instgram kwenye account ya mrekebisha tabia atawasaidia, kweli alienda kumwambia, alichokisikia kutoka kwa huyo mrekebisha tabia kuwa huyo jamaa kashawatapeli wengi sana, watu zaidi ya watano washamlalamikia kuhusu huyo jamaa na tabia yake ya utapeli, basi ikabidi waungane wote watano wakapeana namba ili wajue jinsi ya kudai haki yao, nasikia mpaka polisi huyo jamaa wanamjua na ana kesi nyingi sana, so jamani jihadharini na huyo mtu ni hatari sana. Kashatapeli hadi mamilion ya shilingi kwa watu akijidai anauza magari kumbe hana ata baiskeli.

Kampuni yake nasikia iko mikocheni b karibia na saverio, na kwenye hyo ofisi yake hakuna ata bidhaa moja, uko insta anadanganya watu ana vitu kibao kumbe mpaka aende kununua vitu vya kichina kariakoo.
Poleni sana
SAsa huyu dawa yake mbona rahisi
ni kumuoa tu ili ajue uchungu fedha.
 
Back
Top Bottom