Recent content by khalid

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    Zichanjishe pesa zako kwenda pesa ya Zimbabwe utakua trillionea kabisa, kama lengo ni u millionea. Kama lengo financial stability na kipato cha kuendelea kaa chini utafiti usiwe na akili za kuchangiwa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    Kumbe unaamini kuna Mungu Mwengine Jupiper mwengu nguvu za kumpa mtu nguvu zaidi Ya M/Mungu tunaemfahamu.? Kweli umepotoka kwa kuamini kuna Mungu mwengine zaidi ya alie tuumba
  3. K

    JamiiForums Tanzania Huyu baba wa kihindi kaning'ang'ania, familia yake wananitafuta waniue

    Hii story yako inaonekana kama tangazo la biashara ya K
  4. K

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Iran yanafika kila kona Israel

    Nenda kasome historia, vita vilianza na pre-emptive attack by Israel on Arab airfields. Na ilikua surprise kwa waarabu kipindi hiko hakukua na dalili yoyote ya kuanza vita kati yao.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: TANESCO haiwezi kulipa madeni kwa kupandisha bei ya umeme

    Unakopa ili ulipe deni ? , watu waakili sana hawa, huu ni mzigo wakujiongezea ufukara
  6. K

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Iran yanafika kila kona Israel

    System zote hizo lakini viroketi vinavyotengenezwa jikoni na wapalestina vinatua kila siku. Hayo yote ni mikwala. Hakuna defence system ulimwengu mzima yeye 100% success rate. Na Imagine missiles elfu zimerushwa kwa pamoja hizo system lazima zichanganyikiwe.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Israel ready to help TZ in gas

    Hii ni indirect Business proposal , kujiona wao ni muhimu hawaleti proposal wao kwanza either kwa kiburi , au mtego kwamba msije mkakataa masharti yao kwakua nyie ndio wenye shida mliowafata kuwaomba. Kwa maoni yangu hii ni dharau kwa kiasi fulani , kwamba wameshindwa kuweka wazi kuwa wanataka...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la MIZANI na uchochezi dhidi ya Rais, Waziri Nape lifute hili gazeti

    Ingekua kikwete kachagua Waislam kwa kiwango kama hicho wakristo wange react vipi ?
Back
Top Bottom