Prof. Muhongo: TANESCO haiwezi kulipa madeni kwa kupandisha bei ya umeme

Tarehe mbili leo, Drama Mpya.

Nimemsikia Prof Muhongo akizungumzia mabadiliko ya bei ya Umeme. Amegusia mambo matatu muhimu.

1. Amesema TANESCO walikua na kawaida ya kujilipa bonus kila mwisho wa mwezi/mwaka. Akaongeza kuwa, mwaka jana alifanikiwa kuokoa mamilioni ya pesa yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya bonus (Mbona hakusema siku zote?)

2. Kuhusu madeni kulipwa kwa kuwapandishia bei wananchi, amesema haitawezekana tena TANESCO kulipa madeni kwa kutegemea bei kupanda. Serikali inafanya mpango wa kukopa pesa nje ya nchi ili kulipa madeni ya TANESCO ikiwemo IPTL (Baada ya kukopa nje nani atalipa hayo madeni?)

3. Amesema hakupata taarifa yoyote kuhusu kupanda kwa umeme, ameshitushwa na matangazo ya EWURA. Hakujua kinachoendelea, yaani toka September to December hakuwa na taarifa. Yaani mimi wa kijijini taarifa nilikuwa nayo kuwa TANESCO wamepeleka mapendekezo EWURA juu ya kupanda bei ya units ifikapo 2017 January halafu Waziri hakuwa na taarifa. Hii imenikumbusha mbali pesa za Escrow sio za umma. Huyu mzee namkubali sana ila akiamua kufanya drama ni zaidi ya Michael Jackson.

Naenda kazini
TAARIFA ZA KIOFISI HAZITOLEWI KUPITIA MAGAZETI KAMA UNAVYO DHANI !
 
Unakopa ili ulipe deni ? , watu waakili sana hawa, huu ni mzigo wakujiongezea ufukara
 
Hy jamaa ataumiza wengi on his way (prof) lakini ipo siku machozi yao yatamrudi tu.... alikuwa anamtafutia Mramba aingie kwenye 18 zake akate na kufunua.....
 
Tarehe mbili leo, Drama Mpya.

Nimemsikia Prof Muhongo akizungumzia mabadiliko ya bei ya Umeme. Amegusia mambo matatu muhimu.

1. Amesema TANESCO walikua na kawaida ya kujilipa bonus kila mwisho wa mwezi/mwaka. Akaongeza kuwa, mwaka jana alifanikiwa kuokoa mamilioni ya pesa yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya bonus (Mbona hakusema siku zote?)

2. Kuhusu madeni kulipwa kwa kuwapandishia bei wananchi, amesema haitawezekana tena TANESCO kulipa madeni kwa kutegemea bei kupanda. Serikali inafanya mpango wa kukopa pesa nje ya nchi ili kulipa madeni ya TANESCO ikiwemo IPTL (Baada ya kukopa nje nani atalipa hayo madeni?)

3. Amesema hakupata taarifa yoyote kuhusu kupanda kwa umeme, ameshitushwa na matangazo ya EWURA. Hakujua kinachoendelea, yaani toka September to December hakuwa na taarifa. Yaani mimi wa kijijini taarifa nilikuwa nayo kuwa TANESCO wamepeleka mapendekezo EWURA juu ya kupanda bei ya units ifikapo 2017 January halafu Waziri hakuwa na taarifa. Hii imenikumbusha mbali pesa za Escrow sio za umma. Huyu mzee namkubali sana ila akiamua kufanya drama ni zaidi ya Michael Jackson.

Naenda kazini
Hivi hakuona matangazo kwenye kwenye radio na televisheni ,haya na magari pia hakuyasikia yakitangaza watu waje watoe maoni
 
kiukweli mimi sijaona tatizo la Prof. Mhongo, nimejaribu kusikiliza maelezo yake sijaona kosa ama unafiki wake.
 
Shaka ninayo hukumuelewa Waziri Muhongo, taarifa yeyote ya kiserikali hutolewa kwa maandishi, waziri alikua sahihi kwa tamko lake,tena walichelewa kumuondoa huyo kiongozi tanesco. Serikali ipitie wanaojiita euwra wamekua kero juu ya kero.
 
Tarehe mbili leo, Drama Mpya.

Nimemsikia Prof Muhongo akizungumzia mabadiliko ya bei ya Umeme. Amegusia mambo matatu muhimu.
Naenda kazini

Duh! Mwajiri gani huyo kaajiri mtu kila za kama wewe? Nina wasi wasi kama hata utadumu kwenye hiyo ajira yako!
 
Tarehe mbili leo, Drama Mpya.

Nimemsikia Prof Muhongo akizungumzia mabadiliko ya bei ya Umeme. Amegusia mambo matatu muhimu.

1. Amesema TANESCO walikua na kawaida ya kujilipa bonus kila mwisho wa mwezi/mwaka. Akaongeza kuwa, mwaka jana alifanikiwa kuokoa mamilioni ya pesa yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya bonus (Mbona hakusema siku zote?)

2. Kuhusu madeni kulipwa kwa kuwapandishia bei wananchi, amesema haitawezekana tena TANESCO kulipa madeni kwa kutegemea bei kupanda. Serikali inafanya mpango wa kukopa pesa nje ya nchi ili kulipa madeni ya TANESCO ikiwemo IPTL (Baada ya kukopa nje nani atalipa hayo madeni?)

3. Amesema hakupata taarifa yoyote kuhusu kupanda kwa umeme, ameshitushwa na matangazo ya EWURA. Hakujua kinachoendelea, yaani toka September to December hakuwa na taarifa. Yaani mimi wa kijijini taarifa nilikuwa nayo kuwa TANESCO wamepeleka mapendekezo EWURA juu ya kupanda bei ya units ifikapo 2017 January halafu Waziri hakuwa na taarifa. Hii imenikumbusha mbali pesa za Escrow sio za umma. Huyu mzee namkubali sana ila akiamua kufanya drama ni zaidi ya Michael Jackson.

Naenda kazini

Hii kitu ilitengenezwa ku delete northern empire m across the government
 
Hiyo Namba 3 umepuyangaaaa Tena huo ni Mpuyangoo OG......kupata kwako ww Taarifa wa Kijijini sio Sawa na Taarifa ya Kikazi!!! Waziri inabidi apate taarifa kimaandishi inatakiwa aandikiwe Barua wakti ww unasikiliza clouds tu unapata taarifa
 
Waliochukua hela kwenye lumbesa na bank iliyo husika kutakatisha pesa ndo wakulipishwa ilo deni ni upumbavu kwa MTU au kiongozi yoyote kuwalinda wahalifu wachache na kuwa angamiza wananchi wengi wasio na hatia
 
Jibu moja hakuna kupandisha umeme kwisha habari ujanjaujanja kwisha.
 
Suala kubwa hapa ni kwamba TANESCO wao wameshindwa kutafuta namna bora ya kuliendesha shirika kwa Ufanisi hii inajumushwa mipango na namna bora ambayo itaikwamua TANESCO kutoka kwenye mgogoro wa Madeni inayoyakabili,Kupunguza gharama za kuliendesha shirika.n.k

Muhomgo yeye kaamua kutumia udhaifu wa mkurugenzi wa TANESCO wa kung'amua namna bora itakayomwezesha yeye kuliendesha shirika kwa ufanisi kama Credit ya kupandia ngazi kisiasa hivo kwa unafiki wake muhongo sio muungwana alipaswa kuwashauri TANESCO namna ya kwenda na sio kuwavizia wajichanganye.
 
Sasa kama itabidi wakope ili walipe madeni ya TANESCO je hawaoni kuwa Mkurugenzi wa TANESCO alifanya iliyo kwenye uwezo wake kujaribu kupandisha bei ili kampuni iweze kujiendesha?

Na hilo deni wanalokopa ili kutulipia umeme atalilipa nani kama sio mtumiaji wa umeme?hakuna shortcut kwenye hill, ni either tulifanyie kazi sasa au tuhairishe tatizo mpaka wakati mwingine.
Mkuu hali ngumu sasa ni bora tulipe baade tu labda hapo baadae vyanzo vingine vitatupatia pesa ya kulipa hilo deni lakini kupandisha bei ya umeme ni jambo baya sana kiuchumi kama kupandisha bei ya mafuta. Kama una uaelewa kidogo kuhusu mambo ya kiuchumi unielewa hoja yangu.
 
Suala kubwa hapa ni kwamba TANESCO wao wameshindwa kutafuta namna bora ya kuliendesha shirika kwa Ufanisi hii inajumushwa mipango na namna bora ambayo itaikwamua TANESCO kutoka kwenye mgogoro wa Madeni inayoyakabili,Kupunguza gharama za kuliendesha shirika.n.k ...
Hilo ndo wazo/suala la kujadili na siyo aliyoyasema Prof Muhongo kama Waziri.

TANESCO ina mambo mengi yanayotaka ufumbuzi wa kudumu na siyo bei ya umeme tu, km
1) uchakavu wa miundo mbinu ya ufuaji umeme.
2) usambazaji umeme kwani kiasi kikubwa cha umeme hupotea wakati wa usambazaji.
3) ukusanyaji wa malipo, pamoja na kwamba wanatumia LUKU ambazo zimekuwa zikichezewa na wajanja
4) uongozi usio makini kiasi cha kulipana 'bonus' na umeme wa bure, wakati shirika haliko vizuri kifedha. Na kadhalika.

Mleta mada kuu, fikiri kwanza.
 
Tarehe mbili leo, Drama Mpya.

Nimemsikia Prof Muhongo akizungumzia mabadiliko ya bei ya Umeme. Amegusia mambo matatu muhimu.

1. Amesema TANESCO walikua na kawaida ya kujilipa bonus kila mwisho wa mwezi/mwaka. Akaongeza kuwa, mwaka jana alifanikiwa kuokoa mamilioni ya pesa yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya bonus (Mbona hakusema siku zote?)

2. Kuhusu madeni kulipwa kwa kuwapandishia bei wananchi, amesema haitawezekana tena TANESCO kulipa madeni kwa kutegemea bei kupanda. Serikali inafanya mpango wa kukopa pesa nje ya nchi ili kulipa madeni ya TANESCO ikiwemo IPTL (Baada ya kukopa nje nani atalipa hayo madeni?)

3. Amesema hakupata taarifa yoyote kuhusu kupanda kwa umeme, ameshitushwa na matangazo ya EWURA. Hakujua kinachoendelea, yaani toka September to December hakuwa na taarifa. Yaani mimi wa kijijini taarifa nilikuwa nayo kuwa TANESCO wamepeleka mapendekezo EWURA juu ya kupanda bei ya units ifikapo 2017 January halafu Waziri hakuwa na taarifa. Hii imenikumbusha mbali pesa za Escrow sio za umma. Huyu mzee namkubali sana ila akiamua kufanya drama ni zaidi ya Michael Jackson.

Naenda kazini
Wewe jamaa una fikra mfu sana,nitakupa majibu kwa hoja zako zote tatu.....!

1.Serikali itakopa na kulipa madeni ya Tanesco likiwemo deni sugu la IPTL......nani atalipa hili deni? Ni serikali yenyewe kupitia kodi zetu.

Nini faida ya kufanya hivi?
-deni la iptl sio fixed kumbuka lipo calculated percentage wise....therefore the more you delay to pay deni ndo linavyozidi kukua,
-faida ingine,unapolipa deni lenye riba at once maana yake unaokoa riba ya miezi/miaka ya mbeleni.

2.Issue ya kwamba hana taarifa ya ewura na Tanesco kuwa na process ya kupandisha tariff sio kwamba hajui kabisa maana kuna media lkn kumbuka serikali haifanyi kazi zake kupitia media ni lazima kuwe na official information kwahiyo kama hakuna,Waziri yupo sahihi kusema hajui chochote.

3. Kuhusu kujilipa bonus,hii ipo kwenye mashirika mengi ya umma na ndo chanzo cha mashirika mengi kufa......watu wanajilipa posho na allowance za ajabu ajabu,kwahiyo Waziri akizuia hizo posho sio lazima aje kwenye media na kuutangazia ulimwengu......angefanya hivyo mngeanza kuleta maneno yenu oooh serikali ya media.

NB. Ulichoandika humu ni utumbo mtupu,afu eti dr...!!
Tarehe mbili leo, Drama Mpya.

Nimemsikia Prof Muhongo akizungumzia mabadiliko ya bei ya Umeme. Amegusia mambo matatu muhimu.

1. Amesema TANESCO walikua na kawaida ya kujilipa bonus kila mwisho wa mwezi/mwaka. Akaongeza kuwa, mwaka jana alifanikiwa kuokoa mamilioni ya pesa yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya bonus (Mbona hakusema siku zote?)

2. Kuhusu madeni kulipwa kwa kuwapandishia bei wananchi, amesema haitawezekana tena TANESCO kulipa madeni kwa kutegemea bei kupanda. Serikali inafanya mpango wa kukopa pesa nje ya nchi ili kulipa madeni ya TANESCO ikiwemo IPTL (Baada ya kukopa nje nani atalipa hayo madeni?)

3. Amesema hakupata taarifa yoyote kuhusu kupanda kwa umeme, ameshitushwa na matangazo ya EWURA. Hakujua kinachoendelea, yaani toka September to December hakuwa na taarifa. Yaani mimi wa kijijini taarifa nilikuwa nayo kuwa TANESCO wamepeleka mapendekezo EWURA juu ya kupanda bei ya units ifikapo 2017 January halafu Waziri hakuwa na taarifa. Hii imenikumbusha mbali pesa za Escrow sio za umma. Huyu mzee namkubali sana ila akiamua kufanya drama ni zaidi ya Michael Jackson.

Naenda kazini
 
Ni lini tutakuwa na viongozi wa kweli na waadilifu? Wasio waongo na wanafiki?
Kwenye uzinduzi wa mpango endelevu wa maboresho ya umeme jiji la Dar huyu huyu Muhongo alisikika akisema "TUNATAKA UMEME WA UHAKIKA. TANESCO NA MAPENDEKEZO YENU TUTAJIFUNGIA CHUMBANI TUONGEE" leo anasema hakuwa na taarifa.
Hapa namkumbuka Mh Kigwangala kipindi cha escrow alisema hajawahi kuona Profesa MUONGO kama Profesa Muhongo.
Ni aibu...
 
Back
Top Bottom