Iran na Israel: Suala la Nyuklia what is behind the scene?

kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
3,415
Likes
3,613
Points
280
Age
34
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
3,415 3,613 280
Wakuu,

Kumekua na tetesi na hali ya tahadhari kati ya Israel na Iran na kutishia kushambuliana je, kuna ukweli kuwa huenda wakashambuliana?

Iran mpaka sasa ni adui mkubwa wa Israel kwa kuwahami Wapalestina na Hezbollah ambao ni tishio kwa nchi ya Israel lakini bado Mossad na Israel wapo kimya? Kwanini?

Je, Mossad wameshindwa kabisa kuvishambulia vinu vya kinyuklia vya Iran?

Na Iran nayo adui ni Israel inakuaje hawatumii sera ya pre-attack kumuwahi adui
Jamii Intelligence shusheni vitu
 
Kingsharon92

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Messages
6,601
Likes
7,387
Points
280
Kingsharon92

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2015
6,601 7,387 280
Inasemekana Iran hajaanza uzalishaji wa uranium bado yuko kwenye process za kumiliki vinu vya nyuklia kitu ambacho Israel na washirika wenzake hawapendi kukiona ili hali wenyewe wanavyo mpaka na makombora wanayo
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,669
Likes
10,061
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,669 10,061 280
...
Na iran nayo adui ni israel inakuaje hawatumii sera ya pre-attack kumuwahi adui
jf intelgence shusheni vitu
Sijakupata vizuri. Kwamba Iran atumie pre-attack kumuwahi Israel? Dada (your avatar) unachekesha kweli! Israel is always at highest alert all the time utamuwahi vipi zaidi ya kujipeleka "mdomoni mwa mamba" mwenyewe? Yaani unataka Iran waipe Israel sababu ya bure kitu ambacho Israel inakitafuta mchana na usiku?
 
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
7,379
Likes
5,133
Points
280
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
7,379 5,133 280
Siku iran akirogwa ajidai hata kurusha jiwe ndani ya ardhi ya israel,basi israel nayo itakua imepata sababu muhimu na iliyokua ikiitafuta siku nyingi kuitwanga iran.
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
3,415
Likes
3,613
Points
280
Age
34
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
3,415 3,613 280
Siku iran akirogwa ajidai hata kurusha jiwe ndani ya ardhi ya israel,basi israel nayo itakua imepata sababu muhimu na iliyokua ikiitafuta siku nyingi kuitwanga iran.
Siku iran akirogwa ajidai hata kurusha jiwe ndani ya ardhi ya israel,basi israel nayo itakua imepata sababu muhimu na iliyokua ikiitafuta siku nyingi kuitwanga iran.
hahaha
 
hahaha iran naye alsema anatafuta tiket
 
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
13,296
Likes
36,324
Points
280
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
13,296 36,324 280
Wakuu,

Kumekua na tetesi na hali ya tahadhari kati ya Israel na Iran na kutishia kushambuliana je, kuna ukweli kuwa huenda wakashambuliana?

Iran mpaka sasa ni adui mkubwa wa Israel kwa kuwahami Wapalestina na Hezbollah ambao ni tishio kwa nchi ya Israel lakini bado Mossad na Israel wapo kimya? Kwanini?

Je, Mossad wameshindwa kabisa kuvishambulia vinu vya kinyuklia vya Iran?

Na Iran nayo adui ni Israel inakuaje hawatumii sera ya pre-attack kumuwahi adui
Jamii Intelligence shusheni vitu
Mosi,tafuta ripoti ya MOSSAD ambayo Haaretz waliitoa kuhusu Iran.
Pili,Israel na Iran wanapigana mpaka leo chini kwa chini kwa kutumia Proxies:
Iran anatumia Hezbollah, P.L.O na Jeshi la Syria. (Chini ya Mwamvuli wa Urusi)
Israel anatumia Saudi Arabia, Wakurdi wa Syria, I.S.I.S/ISIL. (Chini ya Mwamvuli wa Marekani)

Iran wala Israeli hawawezi kuanzisha vita bila ruhusa ya Urusi na Marekani.
Siasa za hawa wakubwa ndiyo zitaamua kuwepo au kutokuwepo kwa hiyo vita.
Israeli hawezi pigana vita bila Marekani na Iran hawezi kupigana vita bila msaada wa Urusi.
Haya mataifa yana maslahi makubwa hapo Mashariki ya kati na hayawezi kuruhusu vita isiyo na umuhimu kuyaharibu.
 
Infantry Soldier

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Messages
2,512
Likes
2,454
Points
280
Infantry Soldier

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2012
2,512 2,454 280
Mosi,tafuta ripoti ya MOSSAD ambayo Haaretz waliitoa kuhusu Iran.
Pili,Israel na Iran wanapigana mpaka leo chini kwa chini kwa kutumia Proxies:
Iran anatumia Hezbollah, P.L.O na Jeshi la Syria. (Chini ya Mwamvuli wa Urusi)
Israel anatumia Saudi Arabia, Wakurdi wa Syria, I.S.I.S/ISIL. (Chini ya Mwamvuli wa Marekani)

Iran wala Israeli hawawezi kuanzisha vita bila ruhusa ya Urusi na Marekani.
Siasa za hawa wakubwa ndiyo zitaamua kuwepo au kutokuwepo kwa hiyo vita.
Israeli hawezi pigana vita bila Marekani na Iran hawezi kupigana vita bila msaada wa Urusi.
Haya mataifa yana maslahi makubwa hapo Mashariki ya kati na hayawezi kuruhusu vita isiyo na umuhimu kuyaharibu.
asante
 
Adolph hitler jr

Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Messages
1,814
Likes
1,554
Points
280
Adolph hitler jr

Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2016
1,814 1,554 280
Iran asije kujaribu hata siku moja..... Israel siyo wa sport sport....Kama vipi aulizie yule Rais wa Misri..NASSOR na washirika wake walifanywaje...sasa yeye mmoja tu apigane na taifa linaloongoza technology ya dunia....kumbuka Waisrael ndo taifa pekee linaloweza kudukua taarifa za siri kutoka kwenye Iphones...

ONYO:-NI MIMI PEKEE NDO NAWEZA KU-DEAL NAO..
 
maalimu shewedy

maalimu shewedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
860
Likes
675
Points
180
Age
29
maalimu shewedy

maalimu shewedy

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2016
860 675 180
Mosi,tafuta ripoti ya MOSSAD ambayo Haaretz waliitoa kuhusu Iran.
Pili,Israel na Iran wanapigana mpaka leo chini kwa chini kwa kutumia Proxies:
Iran anatumia Hezbollah, P.L.O na Jeshi la Syria. (Chini ya Mwamvuli wa Urusi)
Israel anatumia Saudi Arabia, Wakurdi wa Syria, I.S.I.S/ISIL. (Chini ya Mwamvuli wa Marekani)

Iran wala Israeli hawawezi kuanzisha vita bila ruhusa ya Urusi na Marekani.
Siasa za hawa wakubwa ndiyo zitaamua kuwepo au kutokuwepo kwa hiyo vita.
Israeli hawezi pigana vita bila Marekani na Iran hawezi kupigana vita bila msaada wa Urusi.
Haya mataifa yana maslahi makubwa hapo Mashariki ya kati na hayawezi kuruhusu vita isiyo na umuhimu kuyaharibu.
Umeeleweka mkuu
 
K

khalid

Member
Joined
Jan 29, 2010
Messages
9
Likes
2
Points
5
K

khalid

Member
Joined Jan 29, 2010
9 2 5
Iran asije kujaribu hata siku moja..... Israel siyo wa sport sport....Kama vipi aulizie yule Raid wa Misri..NASSOR na washirika wake walifanywaje...sasa yeye mmoja tu apigane na taifa linaloongoza technology ya dunia....kumbuka Waisrael ndo taifa pekee linaloweza kudukua taarifa za siri kutoka kwenye Iphones...
Kaulizie nini kilitokea 1973 na vita vya Egypt, Marekani asingeingiliia duniani tungekua na jiografia tofauti.
1967 anavyojitapa Muisrael havikua vita, walishambulia viwanja vya ndege vya nchi za kiarabu na kutupa mabomu kwenye makambi za kijeshi bila wenzao kujua kinachoendelea. Lakini 1973 Egypt walipojiandaa kwa vita Israel walishindwa na njama mpaka wakazamisha meli ya kijeshi ya marekani kumprovoke ili ajue kapigwa na Egypt akawapige nuklia.
ONYO:-NI MIMI PEKEE NDO NAWEZA KU-DEAL NAO..
 
maalimu shewedy

maalimu shewedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
860
Likes
675
Points
180
Age
29
maalimu shewedy

maalimu shewedy

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2016
860 675 180
Mosi,tafuta ripoti ya MOSSAD ambayo Haaretz waliitoa kuhusu Iran.
Pili,Israel na Iran wanapigana mpaka leo chini kwa chini kwa kutumia Proxies:
Iran anatumia Hezbollah, P.L.O na Jeshi la Syria. (Chini ya Mwamvuli wa Urusi)
Israel anatumia Saudi Arabia, Wakurdi wa Syria, I.S.I.S/ISIL. (Chini ya Mwamvuli wa Marekani)

Iran wala Israeli hawawezi kuanzisha vita bila ruhusa ya Urusi na Marekani.
Siasa za hawa wakubwa ndiyo zitaamua kuwepo au kutokuwepo kwa hiyo vita.
Israeli hawezi pigana vita bila Marekani na Iran hawezi kupigana vita bila msaada wa Urusi.
Haya mataifa yana maslahi makubwa hapo Mashariki ya kati na hayawezi kuruhusu vita isiyo na umuhimu kuyaharibu.
Kuchukua tano mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,272,600
Members 490,036
Posts 30,454,765