Recent content by khaleedykimbeho

  1. khaleedykimbeho

    Simulizi: Mke Wangu Juliana

    muendelezo please shunie
  2. khaleedykimbeho

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    wakuu mwenye nyimbo ya steve rnb she dance anisaidie tafadhar
  3. khaleedykimbeho

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwe Mwenye wimbo wa Nash MC mitihani naomba
  4. khaleedykimbeho

    Wayahudi wangekuwa na ardhi kubwa kama Tanganyika wangezalisha chakula cha kulisha ulimwengu wote.

    Ndugu wacha uwoga kuna watu wanalima nawana udumia ardhi vizur kabisa bila ya matatizo na wanayaendesha maisha yao vizuri chamsingi fata taratibu tuu usilete janja janja hakuna atakaye kusumbua, kuhusu sela mpaka muheshimiwa kasima kuanzia tani moja ndiyo mtu alipe kodi sasa sifursa hiyo au...
  5. khaleedykimbeho

    Wayahudi wangekuwa na ardhi kubwa kama Tanganyika wangezalisha chakula cha kulisha ulimwengu wote.

    Fact! kwanza Mimi nadhani utayari hatuna na hatuamini km sisi km sisi tunaweza tuka export bizaa zetu, mfano kulima kwa kulenga mazao yaendane na standard ya soko la nje.
  6. khaleedykimbeho

    Wayahudi wangekuwa na ardhi kubwa kama Tanganyika wangezalisha chakula cha kulisha ulimwengu wote.

    Nakama Wa Israel wangekuwa na akili yakupenda kutafuta habari ama vitu vya kuikosoa serikali yao km watanzania basi wasingeweza kuzarisha chakula chakulisha dunia nzima km tunavyo fikiri. Mfano Nivijana wangap leo hii wanashiliki ktk kilimo hata robo heka tuu lakin wapo mstari wambele kulalamika...
  7. khaleedykimbeho

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sipendi kutoa lawama kwa jambo hili coz najua miundo mbinu siyo rafiki but naomba nitoe ushauri kidogoo kwenu wakuu. Tupo katika mwezi wa mzua za vuri hvyo tunaomba mjipange vizuri kuweza kukabiliana na hii hali ya hewa maana isijekuwa ikatike asubuh irudi jion
  8. khaleedykimbeho

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi huwa mnatoa huduma au msaada gani kwa wajasilia Mali haswa sisi vijana. 1. Kwawanao taka kuanza biashara 2. Kwawalio anza biashara 3. Na kwawalio bobea katika biashara(wazoefu)
  9. khaleedykimbeho

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwanza napenda kuanza kwa kutoapongezi kwenu coz mmeboresha kwa asilimia kubwa Sana huduma zenu ktk jamii but na omba mchanganuo ktk 3% ya makato ya REA nikiasi gani kimekusanywa kwa Mwaka 2016/17 na matumizi yake kiujumla ahsante.
  10. khaleedykimbeho

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Hahahahaha umeongea point Sana kiongozi lakin vile vile na sisi watazamaji tubadilike ifike wakati tukatae habari ambazo hazina faida ktk maendeleo ya taifa leo kwamfano leo hii nivijana wachache wanaotazama taarifa ya habari wengi tunapoteza time zetu kutazama vipind visivyo kuwa na maana kabisa
  11. khaleedykimbeho

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Mkuu umetoa wazozuri but inaitajika tutambue kuwa TBC nichanel ya taifa so lazima ijitahidi kufata na kutunza misingi ya habari na heshima kiujumla vile vile tusije kutegemea kwamba TBC itakuja kuwa Chanel pendwa km ilivyo kuwa clouds au eatv coz TBC haiwezi kutangaza habari zinazo tupendeza...
  12. khaleedykimbeho

    Simulizi: Bwana Harusi aliyejeruhiwa

    Shunie :p vp leo hatupati
  13. khaleedykimbeho

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu mwenye nyimbo ya Nash mc mitihani naomba anisaidie ahsante
  14. khaleedykimbeho

    Simulizi: Bwana Harusi aliyejeruhiwa

    Shunie leo vp bwana harusi ajeruhiwi?:p
Back
Top Bottom