Recent content by Khakha

 1. Khakha

  Mabadiliko Polisi: Kamanda aliyetoa amri ya kukamatwa wanaowakoholea wanawake ahamishiwa mkoa mwingine

  Huyo polisi hana maadili. Hajui maana ya kiapo cha kutunza siri na uaminifu!
 2. Khakha

  Ushauri: Mwanaume anataka kunioa lakini ana maumbile madogo

  Genetics wewe Mungu? Nenda kapandikize mbegu unazotaka zimejaa bwererereee China!
 3. Khakha

  Kwa nini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

  Acha fix ndo mchezo wako huo wadanganye wanachuo wenzio. Pambav!
 4. Khakha

  NASA Kumwapisha Odinga Kama rais wa Kenya

  Kwanza aapishwe kwa uchaguzi upi alioshiriki? Si alikimbia uchaguzi wa marudio huyu? Aende zake kisumu akanywe gongo!
 5. Khakha

  House4Sale Ghorofa linauzwa-Mbezi beach (Jogoo)

  Mkuu hapo 900 itapendeza sio 600!
 6. Khakha

  Zimbabwe: Rais Robert Mugabe ajiuzulu Urais kabla ya Bunge kumuwajibisha

  Wakuu, katika pita pita zangu za kusoma majarida mbalimbali plus ku Google, nimekuta kwenye news ya BBC kuwa Gen Chiwenga alipata military training Msumbiji na Tanzania. Nadhani atakuwa alisoma na Gen Mabeyo huwezi kujua! Kweli jeshi letu ni la ukombozi kusini mwa Africa!
 7. Khakha

  Ushindi wa Uhuru Kenyatta watambuliwa na Mahakama. Kenyatta kuapishwa tarehe 28 Novemba

  Hongera Uhuru ila nafurahi zaidi Kenya wameset precedent kuwa uchaguzi unaweza ukapingwa mahakamani Africa.
 8. Khakha

  Toa tathmini kuhusu katuni hii ya GADO kuhusu hatma ya EAC.!

  Mkuu huyo sio Salva kitu(Kiir), ni Mzee wa Whiskey jirani yetu hapo juu!
Top Bottom