NASA Kumwapisha Odinga Kama rais wa Kenya

Alafu utashanga eti bado kuna Wakenya wanadhani anafanya hayo kwa manufaa ya Wakenya, wakati ni anawavurugia nchi tu kwa mslahi yake.
 
Alafu utashanga eti bado kuna Wakenya wanadhani anafanya hayo kwa manufaa ya Wakenya, wakati ni anawavurugia nchi tu kwa mslahi yake.
Halafu yeye anaendekeza uhuni
6836d1fba05d0145b3ad53c37ad86fb9.jpg
 
Huyu atakuja kujiletea matatizo. Yaan rais wako anaapishwa na wewe unaapishwa na watu wako. Naona mwisho wake kisiasa umekaribia. Yetu macho.

Anakuwa kam General Riek Machar wa South Sudan aliyekimbilia South Africa baada ya mataifa ya dunia kumtambua General Rais Salva Kiir. Funny enough wote ni kabila moja yaani Dinka, Nuer, Acholi na Kenya Luos wote ni Dhluo! na usisahau Joseph Konny ni kundi hilo hilo ambalo Raila anataka kumuiga kwa kuunda NRM na kutotaka kutambua serikali ambayo imehakikiwa na Chief Justice yule yule aliyetengua ushindi wa Uhuru 1/09/2017 na kusifiwa saaaaaaaaaana na Hon Raila, Justice Maraga David! vipi sasa agune!!!!wakati yeye mwenyewe(Raila) aliogopa sanduku la kura na kujiondoa (na kuacha mechi ikiendelea na washindani 7 na dunia imeona) baada ya kujua kuwa kamwe kwenye sanduku hawezi pata kura za kutosha.
 
Raila Odinga ameshakosa uraisi wa Kenya maishani km Baba yake. Akubali tu matokeo. Vurugu zitamweka pabaya zaidi. Dunia nzima hana support zaidi ya Magufuli !
 
Hii ni fujo sasa huyu jamaa kweli ana shida kubwa kwenye kichwa chake katiba ya kenya inaruhusu mambo kama hayo??Kenyata ni mvumilivu yeye aliacha muda upite kama kuna wanapinga matokeo mahakamani wasikilizwe,kweli wamesikilizwa na pingamizi zao kutupwa sasa hapo Raila ataapishwa kwa misingi ipi??kweli ndege wanaofanana huruka pamoja.

Kwanza aapishwe kwa uchaguzi upi alioshiriki? Si alikimbia uchaguzi wa marudio huyu? Aende zake kisumu akanywe gongo!
 
Uhuru Na Kenyata wakae Chini maana hakuna namna nyingine atakayofanya Uhuru hawezi mshitaki wala kumtiani hatiana sababu anasaportas wengi sana
 
Aiseee jioni hii mzee odinga anajiandaa kuapishwa hiyo kesho!
FB_IMG_1511602413507.jpg

Ila kenyatta hajaachwa nyuma leo anajirusha na totoz jijini!
FB_IMG_1511358192345.jpg

FB_IMG_1511358227356.jpg
FB_IMG_1511358202748.jpg
 
Back
Top Bottom