Recent content by Keza76

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya vyumba 4 Morogoro

    Habari wanajamvi, Mimi ni mkazi wa Morogoro, natafuta nyumba ya vyumba vinne maeneo ya Kihonda au Azimio au Kilimanjaro kwa ajili ya kupanga. Mwenye nayo ani PM
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji bibilia za watoto

    Niko Moro niliwahi kuziona mjini sh 15000 nzuri sana
  3. K

    JamiiForums Tanzania Abood Bus Services ondoeni kero kwa abiria wenu

    Halafu MTU anakusimamia wewe uliyekaa kwenye siti ,mwingine ana jasho kaliii yaan Chalinze mpaka Moro unaona hufiki. Kama umemlipia mtoto siti MTU anaanza kukulazimisha ampakate mtoto wako. Uongozi wa Abood ongeeni na madereva wenu hata mimi ni mteja Mkubwa sana wa Abood.
  4. K

    JamiiForums Tanzania JIPATIE KITABU CHA MASWALI YA BIBLIA

    Jifunze Biblia Kwa njia ya maswali ,ni kitabu kipy kabisa kinachokiwezesha kulijua neno LA Mungu kwa kujibu maswali.Kipo kitabi cha watoto wadogo pamoja na watoto Wa sekondari bacho pia kinaweza kutumiwa na watu wazima pia.panda Mbegu ya neno LA Mungu ndani ya Moyo Wa mtoto wako,vitabu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Pata bags ndogo za kuwekea simu na vitu vidogo vidogo

    Habari za kazi wadau, tunauza begi ndogo kwa ajili ya wanaume za kuwekea cm, diary, charger nk, bei in sh 15000 zipo za vijana,za wakina baba nk pia tunafundisha kwa anaetaka kujifunza ,kwa Leo tunaanza na hiz kwa vijana tuwasiliane 0653440055 au 0653557878
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta mganga mashuhuri wa jadi

    Unaijua dini, humjui Mungu,Mungu hana dini,Yesu Kristo ndio njia ya kumfikia
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi Wa nguo mbunifu anependa kujifunza mambo mapya morogoro

    Habari za kazi wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatafuta Fundi nguo mzuri awe anapenda kujifunza vitu vipya,awe mbunifu, anajua kujiongeza, kazi zake smart kabisa tuwasiliane nimpe kazi, naweza kumuajiri au awe anakuja tunafanya kazi ,na kazi ikiisha anaendelea na shughuli...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Nimefurahi sana mama yangu kufariki, sijalia na sitaki mtu alie

    Tens hata Yesu alilia aliposikia rafiki yake Lazaro amekufa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kitendo cha Lowassa kwenda Ikulu si cha kuhalalishwa au kunyamaziwa kwa hoja nyepesi nyepesi

    Nimeipenda[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
  10. K

    JamiiForums Tanzania Watoto watano kila mtoto na baba yake

    Kuna mtt WA wifi yangu ana miaka 21 ana watt 4 kila mtt na babake ,alizaa mtt WA kwanza akiwa na miaka 14 ,mshauri afunge kizazi huyo dada
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimerusha m pesa wrong number

    Pole sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kwenda kwa RAS SIMBA

    Hahahaaa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa haraka kabla stress haijapanga chumba moyoni mwangu

    Hats ukijitenga na watu waliokukwaza watatokea wengine watakukwaza, amei kuu in upendo,upendo huvumilia,husamehe,hauhesabu mabaya no,mwombe Mungu akupe moyo WA kusamehe,msamaha una faida sana kwa afya ya mwili na roho
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nina kuku wa nyama 300 wakubwa wazito niko Moro natafuta wateja

    Poa natafuta lakin na humu natangaza
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nina kuku wa nyama 300 wakubwa wazito niko Moro natafuta wateja

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza niko Morogoro liti,nina kuku 300 wa nyama wazuri na wazito natafuta mteja wa jumla bei 6000 tuwasiliane kwa namba 0713689829
Back
Top Bottom