Kwa hiyo baada ya kuujaza ulimwengu mliandikiwa pia mtelekeze watt au kukataa mimba?don't twist the words of God ili kujifurahishaduuh pole sana dada haya mAneno inabidi utuombe radhi"WANAUME WOTE BABA NA MAMA NI MMOJA " hapana si kweli man six kamsoon imeandikwa tuliumbwa ili tujaze ulimwengu
Ni muda mrefu huenda keshampata wa sita japo aliapa kabisa hataki wanaume tena.Ajitahidi apate mtoto wa sita.
Mapenzi ulevi mbaya sana.Pole sana ila ulifanya kosa haimanishi mtu akiwa mwema kwako ndio umzalie mtoto
Hongera zake kwa kuzaa wengiOngera zake
Hongera zake kwa kuzaa wengiOngera zake
Hahahaha dahJamaa watakuwa walikuwa wanaambiana...akishamaliza anawashtua wenzake wakagombanie goli
Sasa huyu akifika miaka 40 atakuwa na watoto wangapi.Aiseeeee hii ni kali.Kuna mtt WA wifi yangu ana miaka 21 ana watt 4 kila mtt na babake ,alizaa mtt WA kwanza akiwa na miaka 14 ,mshauri afunge kizazi huyo dada