Naona inafana Kwa vingi na RVR ila kwenye consumption ya mafuta naona RVR iko poa Zaidi, nashukuru sana Kwa hizi nondo,naona hadi sasa baada ya kusoma Kwa utulivu hizi nondo RVR imeibuka kidedea kichwani mwangu.
Habarini wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,hizo aina mbili tajwa hapo juu, ni gari ambazo huwa naziona barabarani na nimetokea kuzipenda Kwa muonekano wa nje.
Kwasasa natumia Toyota Premio ambayo kiukweli naifurahia kuanzia consumption ya mafuta hadi issue ya vifaa vyake viko cheap...
Mbeya bonge moja la jiji, Mbeya imejengeka zaid pembezoni kwenye suala la makazi ya watu kuliko maeneo ya barabara kuu... Tizama new forest, Isyesye, Veta, Ituha, Iwambi Makazi Mapya.. Kuna makazi ya maana huko..pia huduma za kijamii Mbeya kuko vizuri, vingine ni changamoto ambazo ziko sehemu...
Mkuu ni muda mrefu ila naomba niseme hili zoezi lilinisaidia plus tangawizi kutafuna tafuna ka kegel exercise pia zilinisaidia,be blessed.Asali na maziwa vilihusika pia.
Wewe ni mkurupukaji wa kimataifa...unaropoka...kuna mdau alishauri jambo la kawaida sana na limenisaidia..kama una waganga wako wa kienyeji wenye account mbili sio mimi.
Hakuna haja ya kulazimisha kila mtanzania kutumia laini ya TTCL,ni suala la wao tu kuja na strategy nzuri za ku acquire new customers wa kutosha while wakiendelea ku retain existing customers,so ni issue ya wao kuwa serious tu..
Shida Mitandao yetu hii, hapa unavyolalamika kuhusu Airtel kuna mwingine huko anatamani apasuke anawalalamikia Halotel na Voda. Komaa nao hao hao tu. Unaweza zunguka Mitandao Yote afu ukakutana na Upuuzi unaofanana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.