Recent content by keydu

  1. keydu

    Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta A mpaka Goba mpakani

    Kama bado ujapata mkuu njoo dm kipo maeneo ya boko
  2. keydu

    Kokoto zinazonyonya maji kupeleka ardhini zipoje na zinapatikana wapi?

    Zinapatika machimbo ya mawe boko dar es salaam ukifika waambie unataka kokoto mabuyu ndizo zenye sifa ya kinyonya maji
  3. keydu

    Kiwanja cha kununua kinahitajika

    vinapatikana maeneo ya Boko Magereza vimeshapimwa mkuu vipo kwenye mchakato wa hati Km 4 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo road karibu mkuu
  4. keydu

    Kwa mahitaji ya kifusi,udongo,Mawe na kokoto

    Kwa mawasiliano zaidi No 0682538233 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. keydu

    Mbu wa Muhimbili

    Wewe utakuwa umesoma Azania au Tambaza bila shaka mkuu
  6. keydu

    Jinsi ya kufahamu kama simu yako au line yako inafatiliwa na mtu mwingine

    Pole mkuu inaonyesha umekuta makubwa mpaka unatamani kukuche
  7. keydu

    Jinsi ya kufahamu kama simu yako au line yako inafatiliwa na mtu mwingine

    Ndio uwasanue wana kuwa kuna kamchezo hako
  8. keydu

    Jinsi ya kufahamu kama simu yako au line yako inafatiliwa na mtu mwingine

    piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama. Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa *monitoring device* kwenye namba yako. Watumie na wengine...
  9. keydu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    *PREMIER LEAGUE SIO YA MAJARIBIO.* Ni muda mfupi toka kocha Mkongwe wa Arsenal Arsene Wenger aliye dumu na klabu hiyo kwa miaka 22 kuondoka Emirates. Huku vuguvugu la kutafuta mrithi wa mikoba yake likionekana kuwa kubwa sana kutokana na klabu hiyo kukaa kipindi kirefu sana bila kubadilisha...
  10. keydu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Miaka 14 sasa tangu Arsenal walipochukua ubingwa wa EPL huku wakijiwekea rekodi ya kipekee kabisa ya kuchukua ubingwa bila ya kupoteza mchezo hata mmoja (15-5-2004). Michezo 38 kufunga 26 Draw michezo 12 kufungwa 0 Unapoitazama hii picha unakumbuka nini ukiachana na kuchukua ubingwa bila ya...
  11. keydu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    BREAKING‼ Arteta amepewa mkataba wa miaka minne Arsenal
  12. keydu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Allegri anataka kubaki Juve. Massimiliano Allegri amejiweka mbali na tetesi za kuhamia Arsenal akisema kwamba ana matumaini ya kubaki Juventus msimu ujao. Akiongea baada ya Juventus kutwaa taji la nne mfululizo katika uongozi wake kwa kupata sare ya 0-0 dhidi ya AS Roma , Allegri aliwaambia...
  13. keydu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mpya kuhusu mrithi wa Wenger. Wagombea wawili wanaoongoza sasa hivi kuwania kazi ya kufundisha Arsenal ni Mikel Arteta na Julian Nagelsmann, kwa mujibu wa taarifa kutoka Sky Sports, hiyo baada ya Massimiliano Allegri kusema kwamba atabaki Juventus msimu ujao labda kama watamfukuza. Na mpaka...
Back
Top Bottom