Recent content by keulankubha

  1. keulankubha

    CHADEMA,CCM na Benedict Mutungirehi katika mtihani wa kulipata jimbo la Kyerwa

    Wanyakanyonyo nadhani nyinyi ni ccm damu damu kama humwamini Mutungirehi, Mutungirehi ni jembe najua nyinyi mnao muona kuwa ni msalti mumeongwa na Katagira, Runyogote na Daniel maana Mutungirehi ni tishio kwao na Taifa ili linajua kumu lile jembe. akisimama ukawa jimbo anabeba kwa wepesi sana...
  2. keulankubha

    Wilaya ya Kyerwa Mfukoni mwa watu watatu

    Kama kweli hata mkuu wa wilaya ya Kyerwa hawezi kushughulikia swala hili kwanini hasimwambie aliye mteua kutengua uteuzi wake maana sioni alifanyalo labda nimuombe Kanali Benedict Kitega kama Mkuu wa wilaya ya Kyerwa atupishe maana kakubali akili yake kuwekwa mfukono mwa Kashunju Runyogote...
  3. keulankubha

    Wilaya ya Kyerwa Mfukoni mwa watu watatu

    Ndugu watanzania kunajambo linanitatiza/linaumeza moyo wangu pia na watanzania wazalendo na wapenda amani kwa ujumla katika nchi yao. Nijambo la kusikitisha sana pia linanipa maswali magumu/mepesi ambayo yanalarua moyo wangu. Najiuliza maswali kama ifuatavyo:- Je hii...
  4. keulankubha

    CCM Tageta ESCROW nani wa kumfunga paka kikengele?

    wanajanvi tujiuleze ccm nani wa kumfunga paka kikengele? Ndugu watanzania najuu yakuwa kila kona upitapo swala ni escrow pia kila mtanzania na mataifa mengine macho yao yameelekezwa Tanzania ili kusikia litakalojitokeza, au atua gani zitachukuliwa kati ya watuhumiwa wa escrow. Watanzania...
  5. keulankubha

    Madai ya serikali tatu imekuwa mwiba kwa wana CCM

    Madai ya serikali tatu naona umekuwa mwiba kwa wana CCM, ninashangaa wanapotoa hoja dhaifu ya kuhusu kuongezeka kwa gharama za uendeshaji na uvunjifu wa muungano. Tanganyika itaendeshwa na gharama zake zisizo za muungano kama ilivyo kwa Zanzibar. Kwani tatizo liko wapi? Mbona hamhoji gharama...
  6. keulankubha

    msaada lg g2 nawezapata wapi posta original

    rejea kichwa cha habari hapo juu ndugu zangu lg g2 nawezapata wapi posta orignal kwenye maduka yanayouza simu.natafuta sana msaada wadau.
  7. keulankubha

    Zoom Tanzania na Human Verification

    minaonaga mizinguo kupitia zoom tanzania tangu juzi
  8. keulankubha

    Dr. Slaa: Tunahitaji mwaka mmoja tu kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda

    Watanzania bado wana matatizo hata kama kunakitu unaona kinawezekana unapinga. sasa wewe katika nafsi yako umeandika haya kwa kumkomoa Dr. Slaa au ni upeo na uelewa wako unapo ishia? kwanza hangalia wageni wanaokuja hapa Tanzania bila hela wanarudi kwao wakiwa matajiri bado wewe hupo tu...
  9. keulankubha

    Nilivyo uelewa mwenge enzi za mwalimu Nyerere na CCM kwa ujumla

    MWENGE NA CCM Ndugu watanzania nitaongelea mwenge kidogo na serikali ya CCM. MWENGE Ndugu wananchi katika kuliongelea hili nitaonekana waajabu sana kwa watu ambao bado wanaendeleza dhana yao ya kuutukuza na kueshimu mwenge. Katika mtizamo wangu jinsi nilivyo kuwa nikiuelewa mwenge...
  10. keulankubha

    Nilivyo uelewa mwenge enzi za mwalimu Nyerere na CCM kwa ujumla

    MWENGE NA CCM Ndugu watanzania nitaongelea mwenge kidogo na serikali ya CCM. MWENGE Ndugu wananchi katika kuliongelea hili nitaonekana waajabu sana kwa watu ambao bado wanaendeleza dhana yao ya kuutukuza na kueshimu mwenge. Katika mtizamo wangu jinsi nilivyo kuwa nikiuelewa mwenge enzi...
  11. keulankubha

    Watanzania kuweni makini na viongozi wa CCM ilivyo kwasasa

    Natanguliza samaani kwa positi ya kwanza ilivyo onekana Ndugu zangu watanzania wenzangu, ninaleta kwenu baadhi ya uovu wa serikali ya CCM na uteuzi wa viongozi unao likumba taifa letu kwa kulindana katika ngazi za juu. Kabla ya kuanza na viongozi ninaanza na mtizamo wa serikali ya CCM ilivyo...
  12. keulankubha

    Watanzania kuweni makini na viongozi wa CCM ilivyo kwasasa

    Ndugu zangu watanzania wenzangu, ninaleta kwenu baadhi ya uovu wa serikali ya CCM na uteuzi wa viongozi unao likumba taifa letu kwa kulindana katika ngazi za juu. Kabla ya kuanza na viongozi ninaanza na mtizamo wa serikali ya CCM ilivyo. Kuna mambo ambayo yamejitokeza na yanaendelea katika...
  13. keulankubha

    Taadhari kwa wananchi kuhusu CCM

    Scramble siwezi amini kwa uelewa wako kama bado uko ccm maana kila kitu unajionea mwenyewe kuhusu uozo na utawala wao kwa ujumla. maana mwenye macho haambiwi tazama. wewe uko sehemu gani ndugu yangu?
Back
Top Bottom