Wile GAMBA
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 1,809
- 595
Kama huu ni mtandao wa kipropaganda pia tujulishwe ili na sisi tuanze kuandika uongo ili msitupotezee muda wetu!
Angalieni hii MISIKULE!!!!
Sio kujisomea tu hata yaliyomo hawayataki ! CC@Zumbemkuu ElliTatizo lenu hamna tabia ya kujisomea ndio maana huu uzi unaonekana ni mrefu kwako
CCM ni chama la watanzania wote na ww ukiwemo
Kuipenda ccm ni sawa na akili za maiti...
Shabash umemaliza kila kitu waoza hawa CCM. Kikwete ni mmoja kati ya Wanafiki wakubwa lakini wakati utamsuta.
CCM ni chama la watanzania wote na ww ukiwemo
CCM ndio chama cha watanzania wote na ww ukiwemo kuanzia babu yako, wazazi wako, watoto wako, na familia yako nzima.
15:45 - Maneno meeeengiiiii ila pointless. Sasa wapelekee ujumbe wenzako kuwa , CCM ni chama chetu watanzania wote, tunakipenda na tutakienzi hakuna chama zaidi ya CCM.
16:19 - CCM ndio chama cha watanzania wote na ww ukiwemo kuanzia babu yako, wazazi wako, watoto wako, na familia yako nzima.
16:20 - Ww mwenyewe waipenda na uliisha sema CCM kwako ni kama maji, utayaoga, utayanywa nk
16:21 - CCM ni chama la watanzania wote na ww ukiwemo
Kaazi kweli kweli...!16:23 - Ukiiona mtu hana hoja km ww ina maana umeikubali CCM. Kwani ukiona mtu analia ujue imeingia hiyo.